Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakiwi kukosa Imani na Real Madrid., shangilia tu man,Leo nina mashaka mkuu sjui kwanini..duh. ngoja nilale tu. Naona tunalia leo kama.CR7 jana.
Tuliza mapumbu. Angalia mpira kwa kutumia akili acha ushabiki maandazi. Nina hakika 99.99% huwezi kuuchambua mpira huu TACTICALLY kwa wachezaji 22 wote.So far mnaruka ruka tu.
Tchouameni majeruhiMadrid wamezidiwa kipindi cha kwanza, pale katikati kuna shids kubwa sana,
Modric na choumeni waingie bila hivyo kazi tunayo
Vinicius na Rodrigo wameshikwa pabaya leo,
Kosa lingine ni kumuanzisha Camavinga, Kipindi cha tutakosa backup
Tchouameni majeruhi
Modric hawezi mudu hii kasi
Vini anategemea space ambayo leo haipati Rodrigo hakuna mchezaji mule. Kwa kifupi leo mmeingia choo cha wadudu.
Sio Rudiger, ni Nacho na Carvajal walijisahau pale, ni kwa bahati hatujafungwa, so bado tupo kwenye gameIla tuache masihara rudiger anakabia macho kinyama🙌
Huyu dogo daah,toka apate majeraha hamna kipya anachoonesha uwanjani aisee🙌Jude Bellingham balon dor contender