Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT: Tumemiliki mpira ila kwa asilimia kuwa kubwa ni kwenye half yetu,hakuna madhara makubwa tuliyofanya kwa dakika 45 za kwanza,rather tumepiga on target moja dhidi ya nyingi za wapinzani wetu.
Ukiangalia utaona Dortmund wamefanikiwa kumanage mfumo wetu,walijua kabisa tutatumia wingers kufanya ushambuliaji,so wameweka nguvu upande huo,utaona Vin akipata mpira wanasogea watatu na hakuna mtu wa karibu wakumpa support,hii inapelekea hata ule mpira mmoja alioupiga kwenda kwenye box la dortmund kuwacleared kwa haraka kwa sababu wakat wanamchelewesha Vin kufanya maamuzi na wao wanawahi kwa haraka eneo la kati ili mipira ikipigwa basi isilete madhara..imekuwa hivyo hata pale Carvajal anapomwaga maji.

Kwa ujumla naona,eneo la mbele halijachangamka kabisa,utaona Bell hata mpira mguuni haukai,anapoteza mipira hivyo,Rodrigyo ndio hata haonekani kama yupo uwanjani.

Kama nlivyosema mchana,hawa jamaa watatumia counter na ndicho wanachofanya,wanatuachia madrid tukae na mpira katika eneo letu na bahati mbaya sana tumekosa ubunifu eneo la kati kabisa.

Tukiendelea hvi hadi dakika ya 70 inatakiwa Bell au Rodrigyo atoke au wote watoke tuongeze viungo eneo la kati.

Thibo kacheza vyema sana,kuna magoli ameokoa hapa ambapo angekuwa jamaa yetu Lunin zile ni kamba,kwa sababu ni magoli ambayo Lunin amekuwa akifungwa sana.

Yote kwa Yote,this is Real Madrid,usipotumia nafasi zako vizuri basi tutakufundisha next time jinsi yakutumia ila ukiwa umeshaumia.


Hala madrid.
Hala! Madrid
 
I really hate real Madrid from the deepest, innermost,profoundly hidden, and furthest-reaching bottom part of my heart."
 
Back
Top Bottom