Real Madrid (β€ŽLos Blancos) | Special Thread

Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya Mbuzi
 
haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya Mbuzi
Wewe ndio hauko serious ,inasikitisha kuona mechi ya man city vs madrid ,doku anakuwa bora kuliko vin na ridrigo huu ni uhaini dhidi ya big talent ,wapenzi wa mpira tunapenda unashinda kombe kwa swags ,unaikumbuka madrid ya Zizzou akiwa kocha?ulimuona winger anakuwa beki ?unaikumbuka liverpool bingwa wa Cl chini ya master of jurgern?City ya Pep? Barcelona ya Pep na Rijkard? Wachezaji waonyeshe vipaji vyao tuburudike ,mpira ni burudani.Leo tunajadiliana jude anastahili balon dor lakini tukikumbuka game za buyern ,city alikuwa anazurura tu akimsaidia beki kukaba ,bora camavinga apewe ndio kazi yake.
 
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unaumwa wewe. Yaani I can't wait for the new season to start. Hilo balaa la hapo juu liache. Real Madrid imebeba makombe bila clinical number 9, sasa kaongezwa finisher, Mbappe huyo Guadiola tayari ashajua yuko out of Champions league kabla haijaanza.
 
Nasikia amegoma.

Now Perez ana-focus kwa Reece James wa Chelsea kama mbadala.
James hapana, yule kila msimu anakuwa na majereha tena ya muda mrefu., halafu hawezi kuwa mbadala wa Davies kwa kuwa yule ni RB na Alphonso Davies ni LB., tunahitaji kweli kuimarisha upande wa kulia, Carvajal umri unaendelea kusogea,
 
Kuna kila dalili tukaenda msimu ujao bado tukiwa Carvajal na Vazquez, labda kama Carvajal ataonekana kupungua makali ndio club itaingia sokoni.
Msimu huu Dani amepambana sana.
Naam Kama tutaenda na hawa hawa basi tunamuhitaji tena Federico Valverde awe kwenye kiwango kama cha msimu huu au zaidi,

Maana hawa wote kupanda na kushuka kuna namna Uwezo umepungua.

Afadhari ya Carvajal Yule Luca ndio kabisaaa hawezagi kukaba.
 
Madrid wanajua wanacho kitafta habari za Swag bakini nazo nyie
 
Mtu anayetumia akili vizuri hawezi kuanza na maneno unaumwa,mjinga ,mpumbavu,masikini,uongo,wewe sio mzima nk .Ukijikuta umeanza sentensi na maneno hayo IQ yako yakawaida sana au ndogo .Jifunze hii itakusaidia
 
IQ yangu wewe itakusaidia nini? Acha ubwege, banters kwenye football kitu cha kawaida.
Sawa basi, Guadiola ataifunga Real Madrid, are you happy now?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…