Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks ๐๐๐๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks ๐๐๐๐๐๐๐๐
haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya MbuziHawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks ๐๐๐๐๐๐๐๐
Wewe ndio hauko serious ,inasikitisha kuona mechi ya man city vs madrid ,doku anakuwa bora kuliko vin na ridrigo huu ni uhaini dhidi ya big talent ,wapenzi wa mpira tunapenda unashinda kombe kwa swags ,unaikumbuka madrid ya Zizzou akiwa kocha?ulimuona winger anakuwa beki ?unaikumbuka liverpool bingwa wa Cl chini ya master of jurgern?City ya Pep? Barcelona ya Pep na Rijkard? Wachezaji waonyeshe vipaji vyao tuburudike ,mpira ni burudani.Leo tunajadiliana jude anastahili balon dor lakini tukikumbuka game za buyern ,city alikuwa anazurura tu akimsaidia beki kukaba ,bora camavinga apewe ndio kazi yake.haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya Mbuzi
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks ๐๐๐๐๐๐๐๐
Nasikia amegoma.Alphonso Davies anatakiwa Kutua Kwa udi na uvumba pale Bernabeu.
perez anaanda jeshi au timu?
kuna watu watagoma kuingiza timu uwanjani ujue ๐ฅ
Hii lazima ikamilike aisee ,ni kufungua bolt tu kwa upande ule wa kushoto ๐จAlphonso Davies anatakiwa Kutua Kwa udi na uvumba pale Bernabeu.
perez anaanda jeshi au timu?
kuna watu watagoma kuingiza timu uwanjani ujue ๐ฅ
Alphonso Davies anatakiwa Kutua Kwa udi na uvumba pale Bernabeu.
perez anaanda jeshi au timu?
kuna watu watagoma kuingiza timu uwanjani ujue ๐ฅ
James hapana, yule kila msimu anakuwa na majereha tena ya muda mrefu., halafu hawezi kuwa mbadala wa Davies kwa kuwa yule ni RB na Alphonso Davies ni LB., tunahitaji kweli kuimarisha upande wa kulia, Carvajal umri unaendelea kusogea,Nasikia amegoma.
Now Perez ana-focus kwa Reece James wa Chelsea kama mbadala.
Yeah, hii imbalance zaidi kuliko ile ya akina Zidane na Figo., Ni matumaini yangu kuwa Ancelloti atatengeneza team bora na ya ushindi.Perez anaandaa murder case. Kuna watu watakufa kama kumbikumbi. Yaani hii timu ni bora kuliko ile ya kina Figo enzi zile.
James hapana Kama wanataka kuongeza MTU Kule kulia Bora TAA au waende pale Kwa Alonso Levakusen kuna wingback za maana pale.Nasikia amegoma.
Now Perez ana-focus kwa Reece James wa Chelsea kama mbadala.
Kuna kila dalili tukaenda msimu ujao bado tukiwa Carvajal na Vazquez, labda kama Carvajal ataonekana kupungua makali ndio club itaingia sokoni.James hapana Kama wanataka kuongeza MTU Kule Julia Bora TAA au waende pale Kwa Alonso Levakusen kuna wingback za maana pale.
Naam Kama tutaenda na hawa hawa basi tunamuhitaji tena Federico Valverde awe kwenye kiwango kama cha msimu huu au zaidi,Kuna kila dalili tukaenda msimu ujao bado tukiwa Carvajal na Vazquez, labda kama Carvajal ataonekana kupungua makali ndio club itaingia sokoni.
Msimu huu Dani amepambana sana.
Reece ni mzuri tatizo ni Injury prone.Nasikia amegoma.
Now Perez ana-focus kwa Reece James wa Chelsea kama mbadala.
Madrid wanajua wanacho kitafta habari za Swag bakini nazo nyieWewe ndio hauko serious ,inasikitisha kuona mechi ya man city vs madrid ,doku anakuwa bora kuliko vin na ridrigo huu ni uhaini dhidi ya big talent ,wapenzi wa mpira tunapenda unashinda kombe kwa swags ,unaikumbuka madrid ya Zizzou akiwa kocha?ulimuona winger anakuwa beki ?unaikumbuka liverpool bingwa wa Cl chini ya master of jurgern?City ya Pep? Barcelona ya Pep na Rijkard? Wachezaji waonyeshe vipaji vyao tuburudike ,mpira ni burudani.Leo tunajadiliana jude anastahili balon dor lakini tukikumbuka game za buyern ,city alikuwa anazurura tu akimsaidia beki kukaba ,bora camavinga apewe ndio kazi yake.
Mtu anayetumia akili vizuri hawezi kuanza na maneno unaumwa,mjinga ,mpumbavu,masikini,uongo,wewe sio mzima nk .Ukijikuta umeanza sentensi na maneno hayo IQ yako yakawaida sana au ndogo .Jifunze hii itakusaidiaUnaumwa wewe. Yaani I can't wait for the new season to start. Hilo balaa la hapo juu liache. Real Madrid imebeba makombe bila clinical number 9, sasa kaongezwa finisher, Mbappe huyo Guadiola tayari ashajua yuko out of Champions league kabla haijaanza.
Mtu anayetumia akili vizuri hawezi kuanza na maneno unaumwa,mjinga ,mpumbavu,masikini,uongo,wewe sio mzima nk .Ukijikuta umeanza sentensi na maneno hayo IQ yako yakawaida sana au ndogo .Jifunze hii itakusaidia