Hapo kwa messi si bora wangemuweka hata nacho, kwakuwa amewin copa emerica wameona nae wamuhusishe.Balloon D'or favouritesView attachment 3045851
Anayestahili hapo ni Dani Carvajal, ila kwa kuwa siku hizi hiyo tunzo imekuwa ya kibiashara zaidi atapewa Vini ama Bellingham ama huyo Rodri.Balloon D'or favouritesView attachment 3045851
hiyo potential uchwara, mechi haiwezi kuchezeka bila ya Valverde uwanjani
Angalia vizuri mkuu, kila position kuna majina mawili yamewekwa hapo
Noma sana Mkuu, na hii itaendelea kuongezeka kutokana na matumizi ya uwanja.