Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dogo ana miaka 17 ila ana Ego balaa ,

Bellingham, Vinicious Jr, Mbape na Endrick Hawa wachezaji Anceloti kazi anayo maana Kila mmoja anapenda sifa
Kabisa kama ile nafasi ambayo aliamua kupiga mwenyewe ule ni upuuzi wakati jude alikuwa kafungua upande wa kushoto, hata siku ya kwanza aliposhinda kwenye hali kama ile nilifurahia goli lakini sikufurahia ule uamuzi maana tayari wengine walikuwa wamefungua pande zote lakini akaamua kufanya vile na kwa upande wa game ya jana ilikuwa ni game ya maamuzi akarudia tena vilevile.

Wanalewa sifa hawa msimu huu kazi inaweza kuwa ngumu aisee.
 

Dogo haijui Santiago Bernabéu, na vile alivyo wa kulialia, asipoangalia atalia sana
 
Wazee wa draw.

Wazee wa kudrop point mbili mbili.

Nawasalimu.
 
Yule dogo hamna kitu atolewe Kwa mkopo ,
 
Kenge nyie nawachukia sana. Akitoka shetani na ccm na polisi wa Tz mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Militao ni mzuri kwenye aerial Ila kwenye race huwa anaachwa Sana , Jana goli kachoma mwenyewe Kwa kujisahau
Hata, lile goli alichoma Rudiger, yeye ndio aliyekuwa eneo sahihi, ingekuwa rahisi sana kublock ule mpira, ila yeye akacheza offside trick ambayo haikusaidia., Militão alikuwa juu kidogo.
 
Mambo yanapaswa kwenda hatua kwa hatua lakini huyu ni kama vile anataka kutuaminisha haraka kuwa yeye ni bora.
Atatulia tu wakati ukifika, hakuna mchezaji mpya ameenda mahali asijaribu kujitutumua., ni kawaida sana, ndio maana Ancelloti anampatia hizo dakika tano tano kwa game, kwasababu anajua akimpa nyingi ni either aumie ama apotee kabisa endapo atashidnwa kufikia malengo.
 
Don kashindwa kumaliza game leo halafu anapaswa kukaa chini azungumze na huyu endrick asitafute jina kwa lazima.

shutuma za endrick ni za kizushi, angempa vipi pasi mtu ambbaye yupo mitaka kadhaa nyuma yake? alikuwa sahihi kupiga.
 

Mkuu, Jude alikuwa yupo nyuma kabisa, dogo anapewa lawama za bure kabisa
 
Hata, lile goli alichoma Rudiger, yeye ndio aliyekuwa eneo sahihi, ingekuwa rahisi sana kublock ule mpira, ila yeye akacheza offside trick ambayo haikusaidia., Militão alikuwa juu kidogo.

rudiger ndie alitagisha lile goli
 
hii midfield ya timu bila ya Modric haiwezi ku work kabisa, Vinga, Jude na valverde wote wanakosa sifa ya kucontrall game. hata chance creation pia inakuwa tatizo. perez anakosa forcouse ya kuboresha timu kwenye sajili zake kwa kushondwa ku focus kwenye weakness za timu bali focus yake ipo more in glamour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…