IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Kaka upo kama mimi hawa mbwa siwapendi mnoo, msimu huu wasipoambulia kombe lolote nafanya tafrija fupi hapa nyumbani Kwangu,NAwachukia sana nyie kenge.Wakitoka Ccm, shetani na polisi wa tz mnafata nyie kwa kuwachukia.
Kumbe tupo wengi🤣🤣🤣🤣Kaka upo kama mimi hawa mbwa siwapendi mnoo, msimu huu wasipoambulia kombe lolote nafanya tafrija fupi hapa nyumbani Kwangu,
Na nitaarika watu nawaambia nasherehekea Uzima na afya njema ila moyoni nitakuwa najua ukweli wa nachosherehekea.
Nilifanikiwa kuangalia kipindi cha kwanza tu jana., kidogo vijana wanaonyesha jitihada., ni kama wanajua walipokwama, so kila mtu anajitahidi ili kumpunguzia Kocha lawama., ila kuna ishu bado inaendelea., tukiwa tunashambulia tunakuwa sana wachache mbele, ama wanachelewa kwenda mbele wakati wa kushambulia, itabidi Mwalimu alifanyie kazi hili suala.Game imeisha tumeua...
Urejeo wa Camavinga unaleta tija pale kati kati.
Tusubiri tu vipimo hapo baadae., ila itakuwa pigo sana, ila kiraka Vazquez yupo atasimamia show.🚨 Fede Valverde: "Matokeo ni jambo muhimu zaidi kwa sasa, tuna wasiwasi sana kuhusu Dani Carvajal."
Toka yule Chizi Ramos alivyotaka kumnyofoa mkono MoSalah hii timu nimetokea kuichukia mnooo
Loyalty, walichofanya Madrid ni same na walichofanya Arsenal kwa ElnenyDani Carvajal ni mpaka msimu ujao tena ndio atarudi Uwanjani, wakati huo huo ame-sign mkataba mpya.
Mimi ninaona Ancelloti ndio anayezungua, huwa ni muoga sana kufanya mabadiliko., jana tulikuwa na viungo Wanne uwanjani ila jamaa walishika dimba, shida ni kuwa hao viungo wote watatu wana uchezaji unaofanana., Modric na Ceballos walivyoingia ndio game ilibadilika, niliona tunacheza mpira mzuri tu unaoeleweka.Siku hizo hatuna game rahis yaan kila game kwetu ningumu asee!!
Mimi ninaona Ancelloti ndio anayezungua, huwa ni muoga sana kufanya mabadiliko., jana tulikuwa na viungo Wanne uwanjani ila jamaa walishika dimba, shida ni kuwa hao viungo wote watatu wana uchezaji unaofanana., Modric na Ceballos walivyoingia ndio game ilibadilika, niliona tunacheza mpira mzuri tu unaoeleweka.
Kama atakuja Kocha mwingine msimu ujao ni lazima afumue midfield yetu.
Ni kweli kabisa, ila wakati wao umepita hatuna budi kukubali hilo, kinachotakiwa sasa ni Mwalimu aumize kichwa ni namna gani atawapanga vijana waliopo tupate matokeo chanya.Ton kroos na Modric walikuwa wanarahisisha sana game kutokana na brain yao hawa watu naona itakuwa ngumu sana kupata replacement yao
Mimi ninaona Ancelloti ndio anayezungua, huwa ni muoga sana kufanya mabadiliko., jana tulikuwa na viungo Wanne uwanjani ila jamaa walishika dimba, shida ni kuwa hao viungo wote watatu wana uchezaji unaofanana., Modric na Ceballos walivyoingia ndio game ilibadilika, niliona tunacheza mpira mzuri tu unaoeleweka.
Kama atakuja Kocha mwingine msimu ujao ni lazima afumue midfield a viungo Wanne sawa ila alibadili mfumo..
Mwanzo tulikua na viungo wanne wa sifa moja ila majukumu yao yalikua tofauti.Mimi ninaona Ancelloti ndio anayezungua, huwa ni muoga sana kufanya mabadiliko., jana tulikuwa na viungo Wanne uwanjani ila jamaa walishika dimba, shida ni kuwa hao viungo wote watatu wana uchezaji unaofanana., Modric na Ceballos walivyoingia ndio game ilibadilika, niliona tunacheza mpira mzuri tu unaoeleweka.
Kama atakuja Kocha mwingine msimu ujao ni lazima afumue midfield yetu.