Kwahiyo Sheria zinafnya watu wakabane Kama wanacheza pool table.Football siku hizi ni fair game, sheria zinaongezwa kila siku. Hakuna kuvunjana miguu kama enzi wakina Maradona.
Hiyo unayoiona inakimbia hapo uwanjani ni hundreds of millions Euro, sasa wewe uje tu umrikie umvunje hivi hivi, unafanya masihara nini!
Mbona watu wengine mnapenda ligiKwahiyo Sheria zinafnya watu wakabane Kama wanacheza pool table.
Kwani si tuna game dhidi ya Liverpool? Subiria vijana wenu watupe hiyo dhahama., ama umehamia Barcelona?Nawashauri refa atakaye chezesha elclassico mumnunue mapema la sivyo Zahama inakuja. Itakuwa ni vilio na kusaga meno.
Naichukia Madrid, ikitoka shetani, ccm na polisi wa tanzania mnafata nyiw kwa kuwachukia.
Goli 5 hazifichi madhaifu ya Timu kwa ujumla.
Bali zinampa sifa mtu mmoja au wawili tu.
Vipi siku Vinny akiwa hayupo?
Sisi tunataka timu icheze hata goli zisipofika 5 ila tuone muunganiko wa timu sio kutegemea Individual performance.
Emre Chan alicheza dakika chache ila nadhani ndiye mchezaji aliyechoka zaidi kuliko wengineRight now Vini is a nightmare to the European defenders and their fans. Tunaomba humiliation kama hii iwe kinyume na sheria za kandanda
View attachment 3133796
Haya poatimu ilishashinda kabla ya vini kufunga hayo magoli mawili ya mwisho. Toa credits zinapostahiki, TImu iliupiga mwingi sana second half.
KaribuHodi humu.
Nimepita kuwasalimia tukutane sa sita usiku.
#Visca el Barca.
#Mes que en club.
Na hii aliyopewa Gaucho Perezi alihongonga?Babu perez aondoke madarakani anatuharibia mpira wetu kwa kuhonga
Kikosi kizuri sana
Ni kizuri endapo kila mmoja atafanya majukumu yake kwa usahihi., na kucheza kiteamKikosi kizuri sana