Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Hamna team hapo***** usengerema huu...ni wazi babu carlo na benchi lake hawajafanya study zao vizuri msimu huu,lakini pia wachezaji tulio nao na uwezo wake wakuwapanga kulingana na uwezo wao ni mdogo sana,kwa mechi zaidi ya mbili zilizopita dalili ya timu kupitika haswa kwa counter attack zilijionyesha wazi,Rudiger na Miltao ni Beki kwa asili zinazocheza namba moja na zote zina tamaa yakupanda mbele na huwa haziwasiliani uwanja,so utakuta wanategeana kuucheza mpira na kurudi kwenye maeneo yao lakini pia kwa miaka nenda rudi,sasa tuna mabeki wana roho za kike,siyo wapambanaji haswa kiasi kwamba washambuliaji wa timu pinzani waogope goli...huku mbele Mbape ameshindwa kabisa kuwa mfungaji na wala siyo mtengeneza nafasi kwa wengine..Lunin nlisema ni kipa wa kawaida sana,uwezo wakuzungumza na beki zake ni mdogo na anafungwa magoli ambayo unasema angeweza fanya kitu.
Ila niliwaambia mapema fanyeni Tigo pesa la sivyo Zahama naona mkaamua kunidharau.Nawashauri refa atakaye chezesha elclassico mumnunue mapema la sivyo Zahama inakuja. Itakuwa ni vilio na kusaga meno.
Naichukia Madrid, ikitoka shetani, ccm na polisi wa tanzania mnafata nyiw kwa kuwachukia.
Pole naona bado una makasiriko yakupigwa fainali mbili na madrid.Nyie maandazi kweli
vasques garasa
Rudiger garasa
Militao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata Kitayoma fc hapati namba.
Tchouameni eti ndio mido
Kule mbele yamejaa magarasa tupu na leo angekuwepo yule garasa mwingine Rodrigo kipigo kingefika 7. Kenge nyie.
Naichukia Madrid. Ikitoka Shetani, Umasikini na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
Naam nimekaribia.Karibu
Pole naona bado una makasiriko yakupigwa fainali mbili na madrid.
Ila kiukweli Mbappe anatia wasiwasi yani kuna maamuzi ya final touches za kufanya anashindwa kabisa kuziconvert na kupata matokeo. Naona anabidi atulize akili na kuongeza ubunifu kwenye ufungaji.
Uzuri wake ni upi?Kikosi kizuri sana
Valverde sijawahi ona uchezaji wake Bora duke abuyaICarlo hawezi kukwepa lawama zangu hata kama Barcelona wamecheza vizuri.
Kwanza kumchezesha Federico Valverde mechi mfululizo ikiwa anajua kuna game kubwa mbele na anahitajika kua fit.
Pili game Approach yake imekua ile ile habadiliki wala habadilishi wachezaji kwa wakati.
Anamtoa viungo wakabaji wote anawaacha kina Jude na mbappe wanaruka ruka.
Hii timu bora Apewe kijana au mtu mwenye misimamo kama Conte.
Dah yaani tumepigwa kama mbwa kokorudiger ndie alitagisha lile goli