Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hodi humu.

Bado nmelala tu? Kwa raha gani hasa mlizonazo.
 
Hawawezi kulala
 

Carlo game plan yake ya first half ilikuwa bora kabisa, Timu ilitakiwa iondoke na goli alau 2 kabla ya half time, Mbappe, vini, Jude wamepoteza nafasi nyingi za wazi kabisa.
La pili defense ya timu ni dhaifu sana, Perez amekuwa mkaidi sana kusajili defenders, kushoto kubovu, kulia kobuvu kati hapafai.
 
Timu nzima inategemea perfomance ya mchezaji mmoja mmoja ili bao lipatikane na Si mipango..

Kwasasa kocha wetu haongezi kitu kwa wachezaji Bali anaishi kwenye historia yaani anarudia vitu katika ufundishaji.

Ili uamini hilo Chini ya kocha huyu Madrid ina vijana wadogo wengi tu ila mzee hua hawapangi anaishia kuwatoa kwa mkopo wengine kukaa benchi.

Kwa sababu anahofia juu ya uwezo wao kumbeba inamaana yeye anaamini kwenye uwezo wa wachezaji wakubwa kumbeba.

Nishasema hii timu haina muunganiko na kama kucheza vile ndio maagizo ya kocha basi mzee kachoka..

Just imagine Flick Angekua Madrid na Carlo Angekua Barcelona ingekuaje matokeo?
 
Yaani wewe kama mimi, lakini tofauti mimi kwanza Real halafu shetani.... jana adabu wamepata kimyaaaaa.
 
Mbape na Vini wanacheza position moja sasa kuwekwa katikati inabidi tu lakini maisha yake yote toka Monaco anatokea kushoto sio kati. Shida ni lazima wote wacheze. Itabidi wazoee tu. Alichofanya Barca leo ndio Dortmund alitakiwa kufanya kushambulia tu sio kukaa nyuma. Real ukiwashambulia kwishneiiiii
 

hao mchezaji mmoja mmoja mbona nje ya pale madrid hatuoni kitu mkuu? Umemuona vini akiwa Brazil?
 
hao mchezaji mmoja mmoja mbona nje ya pale madrid hatuoni kitu mkuu? Umemuona vini akiwa Brazil?
Brazili ipo na kina nani ambao ni bora nafasi zao hata kwenye vilabu vyao?

Unataka vin Adake, awe beki, awe kiungo na ashambulie?

Rafinha mmwenyeweni mbrazili hua anafanya nini akiwa kule?

Nachomaanisha Real Madrid inamkusanyiko wa wachezaji wengi wazuri..

Brazil haina hiyo kitu..
 


Na ninachomaanisha mimi wengi ni average players, Mendy starter wa real Madrid hata kuitwa France ni kwa shida, camavinga ni bench player france, Militao sifikirii kama hata mwaka unafika toka aanze kuwa starter Brazil.

Wengi umashahuri wao unachangiwa na umashuhuri wa timu
 
Militao sura ya kichungaji kabisa ilipaswa afungue kanisa kule Sao paulo eti ndio beki tegemezi Madrid.
Rudiger alifaa afungue stand up comedy huko Sierra Lyon achekeshe watu, eti ndio beki wa MAdrid. Mnachekesha sana.

Nawachukia mno, akitoka shetani, umasikini na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…