Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Mbona Rodrigo anakaa mzee..mitandao inavituko sana, kwa hiyo unataka Mbappe aekwe bao?
Kumuweka bench haina maana kua ni mbovu ila kuna ile kumrahisishia yeye kufunga ili kumrudisha kwenye hali ya kujiamini.
Real Madrid hawatengenezi nafasi nyingi kipindi cha kwanza...
Ni wazi wanakaba na kumsoma Adui Kipindi cha pili ndio wanamaliza game.
Inahaja gani kuanza na mbappe hapo.