Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

mitandao inavituko sana, kwa hiyo unataka Mbappe aekwe bao?
Mbona Rodrigo anakaa mzee..

Kumuweka bench haina maana kua ni mbovu ila kuna ile kumrahisishia yeye kufunga ili kumrudisha kwenye hali ya kujiamini.

Real Madrid hawatengenezi nafasi nyingi kipindi cha kwanza...

Ni wazi wanakaba na kumsoma Adui Kipindi cha pili ndio wanamaliza game.

Inahaja gani kuanza na mbappe hapo.
 
Kenge nyie ie ni mwendo wa za uso tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Enzi za kununua tuzo zimeisha yaaaani nafurahi sana. Nawachukia sana.
Ga-7extbgAAU385.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona Rodrigo anakaa mzee..

Kumuweka bench haina maana kua ni mbovu ila kuna ile kumrahisishia yeye kufunga ili kumrudisha kwenye hali ya kujiamini.

Real Madrid hawatengenezi nafasi nyingi kipindi cha kwanza...

Ni wazi wanakaba na kumsoma Adui Kipindi cha pili ndio wanamaliza game.

Inahaja gani kuanza na mbappe hapo.

Mbappe is too big kukaa bench, yani kocha anaweza uondoshwa yeye kabisa kwa kufanya kosa kama hilo.
 
Niliacha kufatilia tunzo toka 2010, huwa nawashangaa sana watu ambao wapo bizi na huo upuuzi. Rodri hakuwa hata Best player wa Spain Kwenye Euro, Hakuwa Best Player wa City PL anakuaje best player wa Dunia?
 
Vini kakosa tuzo ni kweli hakustahili?

Au uwepo wa Jude na carvajal kwenye top 4 umemuangusha?

Maana wapiga kura wengi waliokua upande wa Real Madrid nadhani kura zao zilisambaa kwa jude, vini na carvajal.

Tofauti na Rodri ambae alipata kura nyingi kwakua hakuna mchezaji mwingine nje ya Madrid aliekua akibebeka
 
Niliacha kufatilia tunzo toka 2010, huwa nawashangaa sana watu ambao wapo bizi na huo upuuzi. Rodri hakuwa hata Best player wa Spain Kwenye Euro, Hakuwa Best Player wa City PL anakuaje best player wa Dunia?
Huu ni ujinga kaka.

Yale aliyoyafanya Vin..Msimu uliopita angefanya messi angechukua tuzo ya 9 bila ubishi.

Nadhani kuna ka ubarcelona kama sio chuki dhidi yetu Madrid.
 
Acha uongo. Unataka tukukumbushe stats za Messi wakati Modric anapewa Balon d'Or?

Vini was average robo tatu ya msimu. Vini alikuja kua mkali kwenye nock out stage ya UCL, wakati kuna wenzie walikua na consistent performance.

Hata kwenye huu uzi, kabla ya nusu fainali ya UEFA, alikua anaimbwa Jude Bellingham na si Vini. Sasa huwezi kupewa Balon d'Or kwa kuperfom vizuri mechi nne. Pale Laliga, he wasn't even the third best player of the season.

PR yenu wenyewe imewaponza. Mmejikuta mpo na Vini, Carvajal na Jude, kura zenu zikagawanyika. Hii tuzo kama mngesimama na Carvajal, alikua anastahili kuichukua. Ila nyinyi wenyewe mkaacha kumpa umuhimu. He was the most qualified player kwenye Balon d'Or list.

NB: team captain wa Ufaransa, Kylian Mbappe, naamini hakumpigia kura Vini. I can bet my money on that!
 
Messi alipewa tunzo mwaka jana kwa mechi saba za ndani ya mwezi mmoja, sasa hoja yako ya knockout stage ni hoja ya kitoto sana
 
Acha uongo. Unataka tukukumbushe stats za Messi wakati Modric anapewa Balon d'Or?

Vini was average robo tatu ya msimu. Vini alikuja kua mkali kwenye nock out stage ya UCL, wakati kuna wenzie walikua na consistent performance.

Hata kwenye huu uzi, kabla ya nusu fainali ya UEFA, alikua anaimbwa Jude Bellingham na si Vini. Sasa huwezi kupewa Balon d'Or kwa kuperfom vizuri mechi nne. Pale Laliga, he wasn't even the third best player of the season.

PR yenu wenyewe imewaponza. Mmejikuta mpo na Vini, Carvajal na Jude, kura zenu zikagawanyika. Hii tuzo kama mngesimama na Carvajal, alikua anastahili kuichukua. Ila nyinyi wenyewe mkaacha kumpa umuhimu. He was the most qualified player kwenye Balon d'Or list.

NB: team captain wa Ufaransa, Kylian Mbappe, naamini hakumpigia kura Vini. I can bet my money on that!
Una hoja za shule ya z vidudu mzee.

2010 Xavi, messi, iniesta ilikuaje wakamshinda Wesley Sneider?

Kura hazikugawika?

2022 messi alichukua hii tuzo alikua na takwimu gani za maaana before world cup?
 
Acha uongo. Unataka tukukumbushe stats za Messi wakati Modric anapewa Balon d'Or?

Vini was average robo tatu ya msimu. Vini alikuja kua mkali kwenye nock out stage ya UCL, wakati kuna wenzie walikua na consistent performance.

Hata kwenye huu uzi, kabla ya nusu fainali ya UEFA, alikua anaimbwa Jude Bellingham na si Vini. Sasa huwezi kupewa Balon d'Or kwa kuperfom vizuri mechi nne. Pale Laliga, he wasn't even the third best player of the season.

PR yenu wenyewe imewaponza. Mmejikuta mpo na Vini, Carvajal na Jude, kura zenu zikagawanyika. Hii tuzo kama mngesimama na Carvajal, alikua anastahili kuichukua. Ila nyinyi wenyewe mkaacha kumpa umuhimu. He was the most qualified player kwenye Balon d'Or list.

NB: team captain wa Ufaransa, Kylian Mbappe, naamini hakumpigia kura Vini. I can bet my money on that!
2016 Ronaldo alitwaa

Huna hoja za msingi Una vihoja vya vidudu mzee.

2010 Xavi, messi, iniesta ilikuaje wakamshinda Wesley Sneider?

Kura hazikugawika?

2022 messi alichukua hii tuzo alikua na takwimu gani za maana before world cup kwenye vigoli vya penealt.
 
Haya, leta takwimu za Vini tulinganishe. Messi 2022/2023 Vs Vini 2023/2024
 
Attachments

  • images (76).jpeg
    images (76).jpeg
    12.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom