Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Xavi, Messi na Iniesta ilikua rare scenario. Kwanza Stats za Messi zilikua kali, wala hazikuhitaji PR kama kesi ya Vini. Pia, hata hao wenzie walitaka Messi ashinde.

Kwa kesi ya Vini, sidhani kama Mbappe kampigia kura kama captain wa Ufaransa.


Narudia tena Carvajal ndie mtu aliekua na vigezo zaidi vya kushinda hii Balon d'Or. Alishinda Laliga, UEFA, na Euros akiwa na mchango mkubwa kwenye timu. Mliwekeza PR mahala pasipo sahihi!
 
Haya, leta takwimu za Vini tulinganishe. Messi 2022/2023 Vs Vini 2023/2024
2022 Messi alishindana na vin?

Takwimu za 2022 unazishindanisha na za 2024 ili upate halon d or ya mwaka gani sasa???

We ka amaa wewe daah.
 
Ukali wake Ulikua upi?

Alichukua Uefa?

Alifika wapi kwenye world cup

Alikua na takwimu gani kwenye world cup na Kali kumzidi sneider?

Kama kigezo ni makombe basi naKubali Carvajal Alistahili ila na wewe ukubali Sneider Alistahili kuliko Messi kwa kigezo hicho hicho.

Takwimu ya mafanikio ya Sneider 2010

• Serie A Champion ✅
• Coppa Italia Champion ✅
• Supercoppa Italiana Champion ✅
• UEFA Champions League Winner ✅
• World Cup Runner-up ✅
World Cup Top Scorer ✅

Lete mafanikio ya messi hapa Tupime uzito
 

messi hakuwa na stats kali 2010, Mbappe na Kane starts zao za msimu huu ni bora kuliko za messi 2010. Ule ulikuwa ni wizi wa mchana kabisa.
 
2022 Messi alishindana na vin?

Takwimu za 2022 unazishindanisha na za 2024 ili upate halon d or ya mwaka gani sasa???

We na jamaa wewe daah.
Basi tutumie hizi hapa.
 

Attachments

  • 20241030_185649.jpg
    66.6 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…