SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Xavi, Messi na Iniesta ilikua rare scenario. Kwanza Stats za Messi zilikua kali, wala hazikuhitaji PR kama kesi ya Vini. Pia, hata hao wenzie walitaka Messi ashinde.2016 Ronaldo alitwaa
Huna hoja za msingi Una vihoja vya vidudu mzee.
2010 Xavi, messi, iniesta ilikuaje wakamshinda Wesley Sneider?
Kura hazikugawika?
2022 messi alichukua hii tuzo alikua na takwimu gani za maana before world cup kwenye vigoli vya penealt.
Kwa kesi ya Vini, sidhani kama Mbappe kampigia kura kama captain wa Ufaransa.
Narudia tena Carvajal ndie mtu aliekua na vigezo zaidi vya kushinda hii Balon d'Or. Alishinda Laliga, UEFA, na Euros akiwa na mchango mkubwa kwenye timu. Mliwekeza PR mahala pasipo sahihi!