CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Kuanzia leo tunapiga bao mtu yoyote anayekuja mbele yetu mpaka tunabeba ndoo na kuvunja rekodi ya kuchukua UCL 2 years in raw.
Uko Usingizini Mkuu? Madrid labda Achukue Ndoo ya Maji
Timu ipo slow sana, kati hakuna mtu wa kupiga penetration pass, wenye uwezo wa kupiga penetration pass wote wanatokea na wamebase sana pembeni. Game haina kasi. Yaani tabu tupu.
Nilijua tu kwa mpira wa leo lazima red itoke,Haya kazi kwenu mkishindwa kuchomoa......
We umetoka wapi? Kwenye football hakuna ndoo za maji.
Mkuu kiufundi hii mechi ni ngumu mno kwa Real hata kama Atletico wako pungufu...
Formation anayocheza leo Real sio aliyoizoea...
Ila kuna Ndoo ya nini?
Wewe ndio umetoka wapi?!