Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii game tumepita kwa zali, plan aliyokuja nayo Carlolina ilikuwa upuuzi kama kawaida yake. Hapa unless tunacheza semis + final na Juve tu, sioni tukiitetea hiyo ndoo. Tuna muziki

eleza ubovu wa plan yake sio kushutumu....
 
Kuanzia leo tunapiga bao mtu yoyote anayekuja mbele yetu mpaka tunabeba ndoo na kuvunja rekodi ya kuchukua UCL 2 years in raw.

Mkuu I wish iwe hivyo lakini odds are not in our favor. Leo tumepiga mpira mwingi sana japo majembe kadhaa yalikosekana. iHala Madrid
 
Leo tumepiga mpira mwingi sana inatia moyo ukizingatia ATM ni mpinzani wetu anaetusumbua sana. iHala Madrid
 
Kuna watu watazuga kama hawakumuona Cristiano akishangilia kama kafunga yeye, halafu waje na upuuzi wa jamaa haijali timu. Smh
 
Mkuu maana yangu ilikuwa ni kufananisha ufanisi wa Real Madrid inavyocheza mechi zake nyingine na sio kuifananisha na ufanisi wa Atletico kwa mechi ya leo...

Leo Real kwa muono wangu hakuwa katika ubora wake, pengine angelikuwa katika ubora wake hii mechi ingeliisha mapema...

Mmmmhhhh.....Mkuu...

Mbona takwimu tu zinaonesha ATM wamezidiwa?

Ball possession ni RMA 66 na ATM 34

Shots on target ni RMA 8 na ATM 2

Shots off target ni RMA 11 na ATM 2

Corner kicks ni RMA 10 na ATM 4
 
Nataman madrid ikutane na barca ili iwe tukimtoa iwe rahc kutetea ndoo ambayo haijawah tetewa
 
Bahati imekuwa upande wa Real...kiufundi hawajacheza vizuri

Lile sio goli la bahati mkuu, hata kama hawajacheza kiufundi kama unavyotaka wewe, wamelazimisha ushindi mambo ya bahati hakuna pale.
 
Mkuu maana yangu ilikuwa ni kufananisha ufanisi wa Real Madrid inavyocheza mechi zake nyingine na sio kuifananisha na ufanisi wa Atletico kwa mechi ya leo...

Leo Real kwa muono wangu hakuwa katika ubora wake, pengine angelikuwa katika ubora wake hii mechi ingeliisha mapema...

Mkuu atletico hawakujiandaa kucheza mpira. Walikuja kuvizia. Halafu sijui kwa nini Torres hawakumuanzisha.
 
Historia itawekwa huko Berlin hiyo June 6
Yoyote tutaekutana nae lazima alazwe
 
Real Madrid siyo kwamba wamecheza vibaya.kocha alikusudia team icheze hivyo akijua wapinzani wao walivyo.
Mkumbuke kitu kimoja ushindi kwa team nyingi si tu uwezo wa wachezaji bali zaidi sana ufundishaji wa kocha.mafanikio kwa team nyingi za ulaya(nchi zilizo endelea kisoka) ni uwezo wa makocha
 
Siwataki Bayern, siwataki Barca. Ila ili La Undecima iwe, lazima tupite kwa mmoja au wote.
 
Lile sio goli la bahati mkuu, hata kama hawajacheza kiufundi kama unavyotaka wewe, wamelazimisha ushindi mambo ya bahati hakuna pale.

Kuweka neno bahati haikuwa na maana goli ni la bahati mkuu...

Siku zote maishani mwetu na vitu vinavyotuzunguka huambatana na bahati...

Ikiwa umeandikiwa bahati njema hata iweje lazima mambo yakunyookee...

Hivyo usilichukulie neno bahati kwa mtazamo hasi...
 
Achana naye huyoooo.
 
Back
Top Bottom