Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Nilikwambia mkuu lazima liingie......
Bahati imekuwa upande wa Real...kiufundi hawajacheza vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikwambia mkuu lazima liingie......
Hii game tumepita kwa zali, plan aliyokuja nayo Carlolina ilikuwa upuuzi kama kawaida yake. Hapa unless tunacheza semis + final na Juve tu, sioni tukiitetea hiyo ndoo. Tuna muziki
Kuanzia leo tunapiga bao mtu yoyote anayekuja mbele yetu mpaka tunabeba ndoo na kuvunja rekodi ya kuchukua UCL 2 years in raw.
eleza ubovu wa plan yake sio kushutumu....
Bahati imekuwa upande wa Real...kiufundi hawajacheza vizuri
Mmmmhhhh.....Mkuu...
Mbona takwimu tu zinaonesha ATM wamezidiwa?
Ball possession ni RMA 66 na ATM 34
Shots on target ni RMA 8 na ATM 2
Shots off target ni RMA 11 na ATM 2
Corner kicks ni RMA 10 na ATM 4
They're defending champions, au hujui hater?
Bahati imekuwa upande wa Real...kiufundi hawajacheza vizuri
Mkuu maana yangu ilikuwa ni kufananisha ufanisi wa Real Madrid inavyocheza mechi zake nyingine na sio kuifananisha na ufanisi wa Atletico kwa mechi ya leo...
Leo Real kwa muono wangu hakuwa katika ubora wake, pengine angelikuwa katika ubora wake hii mechi ingeliisha mapema...
Kuna watu watazuga kama hawakumuona Cristiano akishangilia kama kafunga yeye, halafu waje na upuuzi wa jamaa haijali timu. Smh
Hahaha hahaha!!! Relax.....
Lile sio goli la bahati mkuu, hata kama hawajacheza kiufundi kama unavyotaka wewe, wamelazimisha ushindi mambo ya bahati hakuna pale.
Kuweka neno bahati haikuwa na maana goli ni la bahati mkuu...
Siku zote maishani mwetu na vitu vinavyotuzunguka huambatana na bahati...
Ikiwa umeandikiwa bahati njema hata iweje lazima mambo yakunyookee...
Hivyo usilichukulie neno bahati kwa mtazamo hasi...