Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Half-Time:
Real Madrid 0 - 0 Atlético Madrid
¡¡VAMOS EQUIPO!! #JuntosAPorLaUndecima

10492502_10150827300114953_3503099463096131828_n.jpg
 
Timu ipo slow sana, kati hakuna mtu wa kupiga penetration pass, wenye uwezo wa kupiga penetration pass wote wanatokea na wamebase sana pembeni. Game haina kasi. Yaani tabu tupu.
 
Chicharito is trending WORLDWIDE on twitter right now. WOW !!
 
Santiago Bernabeu leo panaweza kugeuka jeneza la RM...
 
Nilijua tu kwa mpira wa leo lazima red itoke,Haya kazi kwenu mkishindwa kuchomoa......
 
Timu ipo slow sana, kati hakuna mtu wa kupiga penetration pass, wenye uwezo wa kupiga penetration pass wote wanatokea na wamebase sana pembeni. Game haina kasi. Yaani tabu tupu.

Real kaamua kucheza 4-4-2 kitu ambacho ni strange...sijui vile ana Modric hayupo...

Halafu Sergio Ramos leo anakamua kiungo kitu kinachoifanya nusu ya timu iwe ni mabeki...
 
Nilijua tu kwa mpira wa leo lazima red itoke,Haya kazi kwenu mkishindwa kuchomoa......

Mkuu kiufundi hii mechi ni ngumu mno kwa Real hata kama Atletico wako pungufu...

Formation anayocheza leo Real sio aliyoizoea...
 
Back
Top Bottom