Real Madrid (โ€ŽLos Blancos) | Special Thread

team ina udhaifu mkubwa sana kwenye defense, na miifield yetu bado ni dhaifu sana kwa kupambana na timu kama Barca
 
Kwanini tusicheze 4-3-3?
Hii ya kutupia mipira mbele Mbappe akafunge haiwezi kutulipa.

mkuu kwani hapo we unaona tunacheza formation gani? tatizo kubwa timu yetu kati kati ni dhaifu, na nyuma ndio hakufai kabisa. midfield zetu hazina uwezo wakumiliki mpira vizuri wala kutenegeneza nafasi vizuri. wote Jude, Valverde na camavinga ni box to box, wapo style moja kabisa, alitakiwa achezo mmoja tu kati yao. tuna tatizo kubwa la creativeness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ