Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kosi la mabilioni ya hela limetundikwa Bao 5 za nguvu leo....Pumbavu zenu nyie tokeni huko mashimoni tuwape risiti zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo camavinga Bora united tulimkosa
Carlo asepe tu kwa kweli sasa. Imetosha kwa aliyotufanyia.
Nashaauri mumchukue jasusi ten Hag.aje nani mkuu?
Mbappe ni wa kuteseka tu
Kuna uwezekano Lamine akachukua Ballon d'or Kabla ya Mbappe na Vin Jr.Mbappe ni wa kuteseka tu
Probably, kama ata-maintain form yakeKuna uwezekano Lamine akachukua Ballon d'or Kabla ya Mbappe na Vin Jr.
Kuna uwezekano Lamine akachukua Ballon d'or Kabla ya Mbappe na Vin Jr.
nyie takataka nimenilia hela yangu kwa kushindwa kulinda ushindi?
hovyo kabisa
kwa alietizama mechi ya jana, atawezakuona ninachokizungumza kila siku humu, Tchou, Ceballos na Modric walivyo dominant midfield, na kuifanya mechi kuwa nyepesi, baada ya kutoka wao kila kitu kiabadilika, kama mtakumbua mechi ya ligi ya Celta tuliocheza nayo tulikuwa taabani tukiwa na Jude, Valverde na Camavinga katikati.
Real Madrid ina tatizo kubwa kwenye midfield, Jude ni mchongo, Camavinga sio starting material kwa timu kama real Madrid.
Ceballos na Modric should always start kwenye hii timu kwa sasa.