Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tchou na Camavinga are brainless hawana akili hata kidogo sijui walifikaje Madrid. I'm glad jana Tchou kazomewa kila akigusa mpira.

Modric bado skills anazo ila hana mbio tena za kucheza fulltime.

Jude anajua mpira kaibeba sana Madrid toka last season.

Madrid inahitaji new creative mids na defenders wawili hao kina Cama na Tchou wauzwe Espanyol huko.

Toka huu msimu uanze kila game ni kama final tunashinda kwa mbinde sana no matter the starting line up, hilo ni tatizo. Na timu zote kubwa hadi Milan iliyojichokea zimetufunga.

Tchou jana aliupiga mwingi, anahitaji kucheza na quality midifield kama aliocheza nao jama na sio vifaru wenziwe.

Jude ameibebaje madrid? kama zile tapins ndio kubeba kwanini tusiseme na Josel nae aliibeba?

Hilo ndio tatizo kuu, inahitaji two creative midfields tena wawili mmoja wa juu na mmoja wa chini.
 
Hizo hizo tap in counts mbona wengine hawafanyi. Nani alikua La liga best player last season?

Jude, Fede na Rudiger ndo players pekee wanacheza kwa moyo kila game.

Tchou hana msaada wowote jana ni sababu Modric alianza ila Tchou mwenyewe is brainless I can't wait wamuuze 2nd division huko na mwenzake Cama. Madrid ameanza kuzomewa hawamuachi atasepa tu mwenyewe au abadilike sana.
 
wafanafanya mkuu, Josel alifunga nearly 20 goals last season.

Jude hata position anayocheza haielewi kila wakati yupo ndani ya box dogo anasubiri krosi pumbav sana, jamaa anaifanya timu iwe inazidiwa sana kila akiwemo, hukimbia eneo la midfield akawaache wenziwe wazungukwe na kupigwa mtungo.
 
Ndo maana Jude alikua Player of the season over Joselu or any other player. Jude anadrop na kupanda kuliko players wote. Angalia the distance he covers per match. Anaenda kwenye box cos muda mwingi Mbappe au Vini hawapo ndani wao wanataka kudrive tu.

Tatizo kubwa la Madrid ni creative mids Tchou na Cama ni level za 2nd division. Haina vision, can't pass, can't defend wao ni kucheza fouls tu na kujiumiza wenyewe. Wale ni kuuza na kutafuta mids wengine kama Kroos na Modric. Camavinga anaanguka kuliko kawaida kila muda yupo chini. Smh
 
Mkuu unafurahisha sana, JUDE anacheza no 10, creativeness ndio kazi yake kuu, ambayo ndio his biggest weakness, wewe unarusha shutuma kwa DM kuwa hawafanyi creation ambao technically sio kazi yao.
hayo masuala ya covering sio kazi yake kuu. Tatizo kuu la JUDE anatumia nguvu nyingi kufanya kazi ambazo sio zake huku zake zikiwa zinamshinda.
 
Here’s why Tchouaméni and Ancelotti were booed at the Bernabéu​

The Frenchman and the Italian received a less than warm welcome at the home of Real Madrid​

Angalau wadau huko wapaze sauti labda kutokuwepo na mabadiliko kidogo, ila tuna shida kweli kweli ya ulinzi kiujumla., hili ninadhan litafanyiwa kazi msimu ujao, kwasasa ni mwendo huu huu tu.
 
Mkuu unafurahisha sana, JUDE anacheza no 10, creativeness ndio kazi yake kuu, ambayo ndio his biggest weakness, wewe unarusha shutuma kwa DM kuwa hawafanyi creation ambao technically sio kazi yao.
hayo masuala ya covering sio kazi yake kuu. Tatizo kuu la JUDE anatumia nguvu nyingi kufanya kazi ambazo sio zake huku zake zikiwa zinamshinda.

Jude mara ya mwisho kacheza no 10 lini? Kwenye attacking trio ya Mbappe, Vini na Rodrygo. Jude anacheza 10 wapi hapo? Last season alipocheza in the attacking trio he delivered every match.

Msimu huu anachezeshwa wing in the midfield. Anapanda na kushuka, wewe unasema sio kazi yake, kazi yake ni ipi?
 
Mkuu No 10 unaielewa vizuri lakini? Msimu uliopita Jude alikuwa anacheza No 9 (False 9) Msimu huu anacheza 10 kwa Maana ya Attacking Midfield.

Vini ni Left winger, Rodrygo Right Winger, Mbappe Center Forward, Jude ni Attacking midfield.
 
Kwahiyo sababu anacheza attacking mid hatakiwi kupanda na kushuka wala kufunga? Maana unasema anafanya mambo yasiyo majukumu yake.

Tatizo la Madrid sio mbele ni kuanzia defending mid kurudi nyuma. Tofauti na wewe hakuna mtu yeyote amewahi mlalamikia Jude sio humu, fans online wala kocha.

Tatizo la Madrid hakuna CDM kama Casemiro. Hawa kina Tchou na Camavinga hamna kitu, Tchou hata kabla ya kucheza CB alikua anafuka as a CDM. Jana kacheza decent against a lower table team ila against timu kubwa he will be exposed.

Timu itafute CDM na mid mwingine creative na beki wengine wawili timu inarudi on track.
 
Tchou ni world class katika position yake, Tatizo la Real Madrid kubwa ni midfield, hiyo defense ina kuwa exposed kirahisi timu inapokuwa haipo well organized katikati, unapokuwa na midfield dhaifu tarajia tu kushambuliwa kila wakati. jana Celta hawakuwa ni tishio kwa mda wowote mpaka walipotoka Ceballos na Mudric. unapokuwa na midfield ambazo haziwezi kukaa na mpira vizuri, ku dominant game vizuri na wala ku create nafasi vizuri tarajia maharibiko tu kwenye timu yako. Jude, Valverde na Camavinga wote ni same style of players, hatakiwi kuwemo uwanjani zaidi ya mmoja kati yao katika hali ya kawaida.
 
Sawa, mkuu. Let's hope for the best.
 
Mbappe equalizes for hosts as he scores penalty! Real Madrid 1-1 Las Palmas
1737304897551.gif
 
Back
Top Bottom