Tchou na Camavinga are brainless hawana akili hata kidogo sijui walifikaje Madrid. I'm glad jana Tchou kazomewa kila akigusa mpira.
Modric bado skills anazo ila hana mbio tena za kucheza fulltime.
Jude anajua mpira kaibeba sana Madrid toka last season.
Madrid inahitaji new creative mids na defenders wawili hao kina Cama na Tchou wauzwe Espanyol huko.
Toka huu msimu uanze kila game ni kama final tunashinda kwa mbinde sana no matter the starting line up, hilo ni tatizo. Na timu zote kubwa hadi Milan iliyojichokea zimetufunga.
Tchou jana aliupiga mwingi, anahitaji kucheza na quality midifield kama aliocheza nao jama na sio vifaru wenziwe.
Jude ameibebaje madrid? kama zile tapins ndio kubeba kwanini tusiseme na Josel nae aliibeba?
Hilo ndio tatizo kuu, inahitaji two creative midfields tena wawili mmoja wa juu na mmoja wa chini.