Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Ancelloti tu huwa hajiamini, ila huyu Raul Asencio alikuwa anatufaa zaidi pale kati kuliko Tchouameni
Si umeona Ceballos alivyoupiga mwingi pale kati leo? Na Alaba amerejerea uwanjani, so mambo sio mabaya sanaI'm glad Tchou na Camavinga wamepata majeraha madogo. Carlo atalazimika kuchezesha watu wengine.
Akiwa mbele ana balance mzani vizuri.Naona hata Mbappe anaenjoy sana kucheza na bwanamdogo
dos.2020 umeona comments za watu baada ya Tchou kuumia Leo? Huyu tunauza end of the season.
hao wengi ni vijana wa ovyo kuwazingatia ni uwendawazimu, hao ndio waliokuwa wanamtukana Mbappe toka msimu ulipoanza, sasa hivi bila ya kukosa aibu wame switch upande. usishangae kuwakuta wanakwambia Bellingham ndio mchezaji bora duniani. majuzi tu niliwaona wanamwaga povu wanataka Perez out.
Jude is top3 duniani everybody and their grandmas know that. Tchou tunauza Espanyol end of the season.
Name La Liga player of the month for December?
na vipi kuhusu November na October?