Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

acha kumlinganisha Musiala na vitu vya kipuuzi, Jude mpira anatuliza mara mbili mbili unaanzaje kumlinganisha na skillful player kama Musiala?
Jude ni mpira kilimo jembe la mkono Hana talent ya musiala , Pedri,palmer ,mc allister etc kiufupi ni mchezaji wa kucheza Kwa maelekezo ya kocha na mafanikio ya team yanambeba sio yeye kuibeba team,vin na mbape unaiona talent zao binafsi sio Jude ,Madrid kuondoka Kwa ton na Luka kutawafanya wawe kawaida kwenye kiungo unless wasajili viungo wa ku control mechi hakuna hata mmoja ,valvelde,Jude,camavinga hakuna mtu anaye control mechi ndio maana barca watawapiga Tano ,nne,na kuna siku watawapiga saba mpaka nane maana viungo wao wanachezesha team kama vichwa vimekatwa ni kukimbiza kimbia tu hakuna utulivu .
 
Ulichoandika sidhani hata kama we nwenyewe umekisoma.
 

Ceballos hivi sasa ndio amekuwa ZIdane wao, anawasaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…