Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Ancelloti na kijana wake Tchouameni kama kawaida., dogo Asencio ninaona kama yupo vizuri sana., ila acha tumwachie MwalimuKikosi cheque hiki hapa. Vini, Ceballos ndani
Sub ya ceballos sikuielewa modric alitakiwa kuingia ila sio Dani kutoka.jamaa walicheza kwa nidhamu sana, tuna lack quality fullbacks kwenye attacking.
Sub ya ceballos sikuielewa modric alitakiwa kuingia ila sio Dani kutoka.
Kama kocha alishindwa kumtoa vervede au Bellingham ili modric aingie ni Bora angetoka vasquez, vervede akacheze kule kulia.
Baada ya kutoka ceballos pale kati palibaki Uchi kabisa.
Rodrigyo wa moto now
ila vin game kipindi cha pili ilimkataa hakustahili kumaliza dakika 90
Ni kweli hata Jude angetoka ingekua sahihiNi kweli either Jude au Valverde ndio waliotakiwa kutolewa, ila alichokifanya sio kama ni upumbavu alijua nini anafanya na sio mara ya kwanza kufanya bahati mbaya tu mambo hayakwenda sawa, Modric ana offer zaidi kwenye attacking kuliko ceballos, na ndio mana aliifanya ile sub ili aengeze mashambulizi.
Sure man, Carlo kama kawaida uoga wake ndio unatuumiza msimu huu., jamaa wameshaamua kukaa nyuma una Arda Güler anayeweza kucheza kwenye hali hiyo na yupo bench ila anaogopa kumtoa mtu fulani, ajabu sana. Tulikuwa na advantage nzuri tu, ila tuaanza kucheza tena kwa presha, na game inayofuata ni dhidi ya Atletico Madrid.Sub ya ceballos sikuielewa modric alitakiwa kuingia ila sio Dani kutoka.
Kama kocha alishindwa kumtoa vervede au Bellingham ili modric aingie ni Bora angetoka vasquez, vervede akacheze kule kulia.
Baada ya kutoka ceballos pale kati palibaki Uchi kabisa.
Rodrigyo wa moto now
ila vin game kipindi cha pili ilimkataa hakustahili kumaliza dakika 90
Ujio wa mbappe anceloti ilitakiwa amrudishe Jude role ya no 8 ambayo alikua akicheza Dortmund sio no 10 tena.obsessive ya Jude ya kutaka kufunga inaigahrimu sana timu, jamaa anaacha kabisa majukumu yako akili yake inawaza kufunga tu.
Kuna wachezaji nahisi wanampa presha kocha kuanza, Jude na Vin hawa naona kama kocha anawagwaya sana.Ni kweli either Jude au Valverde ndio waliotakiwa kutolewa, ila alichokifanya sio kama ni upumbavu alijua nini anafanya na sio mara ya kwanza kufanya bahati mbaya tu mambo hayakwenda sawa, Modric ana offer zaidi kwenye attacking kuliko ceballos, na ndio mana aliifanya ile sub ili aengeze mashambulizi.
Kuna wachezaji nahisi wanampa presha kocha kuanza, Jude na Vin hawa naona kama kocha anawagwaya sana.
Kinachombeba Rodrigyo ni performance yake vinginevyo mzee hua anamtumia kama mbuzi wa kafara kumuweka bench huyu dogs kisa hana matatizo na kiburi.
Ila vin ata awe na kikwango kibovu akiwa fit et lazima acheza sa sijui kwann.