Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tchou ni mzuiaji mzuri ila sio passer mzuri, kwahyo kucheza kama beki wa kati anaweza tena akicheza kama beki 4 ila hafai kucheza kama beki wa mwisho.

Diaz ni kipaji kikubwa.

Endrick ni mzuri ila binafsi naona anakurupuka sana kama ulivyosema hakai kwenye nafasi na kwenye maamuzi yake anakurupuka sana.

Vini kadekezwa sana na carlo jana kamuonesha utoto kaka mkubwa Modric.

Mkuu Tchou kwa position yake hakuna ulazima wakuwa passer mzuri, kazi yake ni kukaba maeneo, kunyang'yanya na kuachia mpira kwa ma CM na AM wafanye vitu, na anaifanya kwa kiwango kizuri kabisa. Tatizo linakuja timu kukosa ma CM na AM wazuri wanaposhindwa kufanya kazi zao washabiki uchwara wenye ueleo mdogo ndio huanza kumshutumu yeye kwa kitu ambacho yeye halazimiki kuwa nacho. last two seasons alipokuwa akicheza na Kroos na Modric pamoja hatukuwahi kusikia malalamiko ya aina yoyote.
 
Ndomana nimesema kwa sasa afadhari acheze beki wa kati ndio anakua vizuri zaidi kuliko kiungo, maana Kroos mpiga pasi hayupo na modric controlla wa game ndo hivyo tena.
 
hilo sio tatizo lake ni tatizo la timu kuwa na midifields ambao ni belowa standard. Tatizo anapocehza beki huku akiwa na mtu kama vasquez pemeni anakuwa anapata shida sana. Na pia pengo lake katikati tunapocehza na timu zinazo miliki vizuri mpira linakuwa ni kubwa sana kama vile Barca au City.
 
Uhhakika kaka yaani dogo yawezekana hana kiwango kibuwa Sanaa ila ana tabia ya kishambuliaji kweli, kwahyo akipikwa anaweza kuja kua David villa mpya kwa Spain maana wana uhaba na striker hao.
Analijua goli vizuri sana, niliona mahojiano yake yupo vizuri pia kwenye uelewa wa game, sio bahati mbaya kuwa ndie kinara wa magoli kwasasa kwenye rank anayochezea.
 
Wachezaji wa kihispania wapo vizuri sana kichwani..

Natamani madrid tuwe na kiungo mmoja mkabaji raia wa Spain kama rodri vile.

Kuna yule dogo wa real sociadad miaka 26 sijui tunakwama wapi kumchukua.
 
hilo sio tatizo lake ni tatizo la timu kuwa na midifields ambao ni belowa standard. Tatizo anapocehza beki huku akiwa na mtu kama vasquez pemeni anakuwa anapata shida sana. Na pia pengo lake katikati tunapocehza na timu zinazo miliki vizuri mpira linakuwa ni kubwa sana kama vile Barca au City.
Dirisha kubwa madrid wangempambania Martin zubimendi na Witz.

Kisha wakatafuta beki mmoja wa kulia na beki mmoja wa kati, timu inaweza kukaa sawa nadhani.
 
Kroos ni CM Modric ni AM, Luca ameanza kucheza chini karibuni tu under Carlo nahisi ni last season na hivo kwa kuwa anayo quality ya kuweza kuadopt ile position.
Na vipi mtazamo wako kuhusu vin huyu dogo habadiriki.

Pamoja na kupendwa na malegend kama cr7 na kukingiwa kifua na wabrazil wenzie ila wapi.

Vin anegekua mkimya kama Rodrigyo Angekua mchezaji hatari na pendwa sana duniani.

Shida nini kwa bwana mdogo, Saikorojia au ndio tabia ya kuzaliwa.

Binafsi Kuna mda natamani auzwee tu japo madrid wametumia muda kumtengeza kua icon wa club.

Ila matukio yake siku baada ya siku yanaharibu taswira yake na kwa club.
 
vini anasumbuliwa na matatizo ya akili, ni isue ya vijana wengi wa kibrazil na america kusini kiujumla. wamekulia katika mazingira ya ovyo. Kwa hatua aliofikia ni ngumu kukaa sawa.
 
Nafatilia page za fabrizo hapa, inasrmekana kambi ya wanaomsimamia vin wamepiga chini offer ya mkataba mpya toka madrid...

Wanataka mpunga zaidi, mashekhe wa Saudi washafika bei.
 
Mkataba wa Vini currently unaenda hadi 2027 hii ni kuongeza zaidi ya Hapo na restructuring of the salary nothing serious. Timu na wachezaji kukataa offer ni kawaida case in point Mo Salah Liverpool.
 
Kwa jinsi tunavyocheza huu msimu na especially last few games sioni tukishinda both games the Madrid derby na game against City. We might actually lose both games sadly. Tukipoteza hizi games ni almost tumemaliza msimu kapa maana a gaping hole will open kwenye mbio zetu za ubingwa. Hope I'm wrong but it's not looking good.
 
Tukipoteza hizp games zote 3 uefa ndio tutaikosa, kwa la liga lofote linaweza kutokea kaka
 
Kwa jinsi tunavyocheza huu msimu na especially last few games sioni tukishinda both games the Madrid derby na game against City. We might actually lose both games sadly. Tukipoteza hizi games ni almost tumemaliza msimu kapa maana a gaping hole will open kwenye mbio zetu za ubingwa. Hope I'm wrong but it's not looking good.
Yaani msmu huu tumekuwa hatuna afadhali kiukweli, yaani likitoka hili linakuja lile, ila ishu ya Ulinzi imetuathiri kikubwa sana., Acha baadae tuone Ancelotti atakuja na chaguo gani kwenye ulinzi.
Game ya leo ndio itatupatia muelekeo kwenye game ijayo kwenye UCL.
 
cha muhimu ni kuwa lazima Jude awe dropped, we can't afford to play with 4 forwards in big games, midfield yetu huzidiwa sana hubakiwa wawili wakaishia kunyanyasika. Ila kumueka bench Jude nalo ni jambo gumu sana kiamamuzi lakini bila ya hivyo litatigharimu sana.
 
Tchou na Lucas wasiwepo hata benchi.
 
Back
Top Bottom