Ujio wa mbappe anceloti ilitakiwa amrudishe Jude role ya no 8 ambayo alikua akicheza Dortmund sio no 10 tena.
Hii hoja yako hua naielewa sana.mkuu hao tayari wana hadhi ya kuitwa mastaa, kwahiyo tayari unakuta wapo juu ya kocha, akijaribu kuweka bench mara bodi inaanza kumuhoji. Bodi za timu huwa na demand zao masuper star wao always huwa wantaka wawemo uwanjani.
Hapana wanaweza kucheza pacha na vervede.hiyo 10 ndio position pekee anayoweza kucheza hapo madrid. yani acheze 8 mbele ya Valverde? acha utani ndugu
Hapana wanaweza kucheza pacha na vervede.
Wanaita double pivot sijui.
Na bado mtapigwa sana. Vipigo vingine viko njiani vinakuja. Nawachukia sana. Baada ya Shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
Hii hoja yako hua naielewa sana.
Ila binafsi hua naona haiko fair.
Imagine jana Rodrigyo angekua na kiwango kama cha vin... angefanyiwa sub mapema tu.
Kweli kabisa.Belingham hawezi cheza namba za nyuma, moja weakness yake kubwa ni kushindwa ku cover position, always yupo out of position. ikiwa hapo namba 10 anashindwa kukaa muda wote yupo position ya 9 hivi kweli ataweza kutulia namba 8? na Pia ukisema wacheze wote kwa maana mtu kama Ceballos akae nje? time lazima inahitji mtu wa ku control tempo of the game bila ya hivo timu itazidiwa mechi zote.
Sahihi kabisa, na wakiendelea hivi dogo anaweza kwenda arabuni kuchota hela.ndo maisha yalivyo mkuu, uwezo mtupu sio kigezo cha mafanikio. Wa kina Jude vini, messi ronaldo, kuna kijana Palmer, foden na wengi tu wana PR nzitto za kuwapmabania, kuna vitu unaweza hata usiamani, unaweza kutu chombo kikubwa cha habari wachambuzi wanapenyezewa bahasha halafu unaona sifa zinamwaga kwa mtu.
Ni rahisi sana kuona Jude, vini au mbappe kuwa man of the match kwenye mechi ila kwa rodrygo sasa huwezi kumbuka mara ya mwisho lini ameshinda hio tunzo licha ya kuwa ni wazi kabisa yeye na Ceballos ndio wamekuwa best players wa timu in the last 10 games lakini huwezi sikia hata man of tha match kupata.
Tchou ni mzuiaji mzuri ila sio passer mzuri, kwahyo kucheza kama beki wa kati anaweza tena akicheza kama beki 4 ila hafai kucheza kama beki wa mwisho.Tchou akicheza katikati hua anaupiga mwingi sana
Arda kwa kweli anavunja moyo sana, benchi analokaa analistahiki kabisa
Brahim diaz ni nyoko kabisa
Mendy sio wa mchezo mchezo jamaa hata bongo hafai
Endrik ana skill nzuri ila tatizo lake kubwa ni kukaa vizuri kwenye position, anakimbia sana box bila ya sababu ya msingi, yule kijana alieingia alikuja kufanya kitu ambacho Bobby kilikua kinamshinda
Real Madrid, Barcelona na Manchester City zinaongoza kwa kua na mashabiki mamluki wengi hasa ukanda wa huku Africa.kuna mpuuzi anaejiita Madrista nilikuwa naangalia nae mechi, wakati enrick anatolewa alirusha matusi sana kwa Carlo, baada ya dogo alieingia kupachika bado alishindwa hata kushangiria kwa aibu
Yule Dogo weekend iliyopita alitoka kufunga goli 4., sio bahati ila ni anakuja vizuri sana, ni vigumu kweli kutoboa ila inawezekana sema Coach asiwe Ancelloti, kwasababu sio mpenzi wa kulea vijana, acha tuone club itam-manage vipi.Real Madrid, Barcelona na Manchester City zinaongoza kwa kua na mashabiki mamluki wengi hasa ukanda wa huku Africa.
Yule dogo aliefunga goli madrid haina mshamvuliaji aina ile.
Pure no 9... sema kwa umri wake ana kazi kubwa kutoboa kikosi cha kwanza, labda wamtoe kwa mkopo ligi ya Italy au ufaransa.
Uhhakika kaka yaani dogo yawezekana hana kiwango kibuwa Sanaa ila ana tabia ya kishambuliaji kweli, kwahyo akipikwa anaweza kuja kua David villa mpya kwa Spain maana wana uhaba na striker hao.Yule Dogo weekend iliyopita alitoka kufunga goli 4., sio bahati ila ni anakuja vizuri sana, ni vigumu kweli kutoboa ila inawezekana sema Coach asiwe Ancelloti, kwasababu sio mpenzi wa kulea vijana, acha tuone club itam-manage vipi.
Real Madrid, Barcelona na Manchester City zinaongoza kwa kua na mashabiki mamluki wengi hasa ukanda wa huku Africa.
Yule dogo aliefunga goli madrid haina mshamvuliaji aina ile.
Pure no 9... sema kwa umri wake ana kazi kubwa kutoboa kikosi cha kwanza, labda wamtoe kwa mkopo ligi ya Italy au ufaransa.
Yule Dogo weekend iliyopita alitoka kufunga goli 4., sio bahati ila ni anakuja vizuri sana, ni vigumu kweli kutoboa ila inawezekana sema Coach asiwe Ancelloti, kwasababu sio mpenzi wa kulea vijana, acha tuone club itam-manage vipi.