Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kikosi chetu. hiki hapa.

Yaani kwa timu hii inabidi Real players kua Agressive kufanya pressing.

yaani kukabia juu mwanzo mwisho.

Hatuna beki hapa na hatuna viungo wa kuweza kumiliki dimba la kati sawa sawa. Inategemea dani ceballos kaamka vipi..

Camavinga yupo benchi nae baadae anaweza kuingia kuokoa jahazi

Kiufupi tukikabia chini tumeisha.

Ila kwa kua ni derby, na inachezwa Santiago... nina imani tunaondoka na point hii game.

Halla Madrid
 

Attachments

  • FB_IMG_1739039841866.jpg
    67.9 KB · Views: 3
Naitaji maoni kutoka kwenu Madridista,ipo hivi anachofanya president wetu aka FLORENTINO PEREZ kutosajili kwa namna yoyote ile haitii wasi kwenye performance ya timu au ndio ile anaamini kikosi chake kitampa matokeo chanya mda wowote?🤷🏿‍♂️
 
Binafsi naona Imani yake kwa wachezaji na kocha ndio inafanya mpaka sasa timu ipo hapo.

Anapoacha kusajili inaamana kawaamini sana waliopo so na wao wanapambana ili kumuonesha kua hajakosea kuwaamini.

Ila hii sera yake inambana sana kocha kimbinu...

mfano si kila mchezaji anaweza kufiti kwenye mfumo wake ila analazimika tu.
 
Shida ya ancelotti ni mara chache kuvumbua vijana , kwasababu huo upande wa lucas ulitakiwa kuwa na mbadala hata kwa academy ya timu.

Ndio maaana Guardiola hawezi vumilia upuuzi kama anao sacrifice ancelotti,kuwa yeye akishaona pengo mara moja huchukua hatua. Nashangaa kuna game tchouameni akigusa tu mpira anazomewa lakni carlo mechi ilofata alimpanga fresh tu bila bugdha🙌
 

Kweli mkuu, sio sababu ya kuwa na academy halafu watoto hawapewi nafasi ya kuziba mapengo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…