Wakianza tu hao tumeisha.
ndio taja option nyengine iliyo bora sio unalaumu bila ya kutoa option ya solution
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakianza tu hao tumeisha.
Binafsi naona Imani yake kwa wachezaji na kocha ndio inafanya mpaka sasa timu ipo hapo.Naitaji maoni kutoka kwenu Madridista,ipo hivi anachofanya president wetu aka FLORENTINO PEREZ kutosajili kwa namna yoyote ile haitii wasi kwenye performance ya timu au ndio ile anaamini kikosi chake kitampa matokeo chanya mda wowote?🤷🏿♂️
Kwa wachezaji waliopo Angecheza nani hiyo namba brotherHuyu Lucas bado anapewa fullback kwenye mechi kama hii? Ancelotti kashachoka anataka kuondoka sasa
Hakuna mbadala hapo Mkuu, kiukweli kwenye ulinzi hali ya team ni tete sanaHuyu Lucas bado anapewa fullback kwenye mechi kama hii? Ancelotti kashachoka anataka kuondoka sasa
Kwa wachezaji waliopo Angecheza nani hiyo namba brother
Hakuna mbadala hapo Mkuu, kiukweli kwenye ulinzi hali ya team ni tete sana
Shida ya ancelotti ni mara chache kuvumbua vijana , kwasababu huo upande wa lucas ulitakiwa kuwa na mbadala hata kwa academy ya timu.
Ndio maaana Guardiola hawezi vumilia upuuzi kama anao sacrifice ancelotti,kuwa yeye akishaona pengo mara moja huchukua hatua. Nashangaa kuna game tchouameni akigusa tu mpira anazomewa lakni carlo mechi ilofata alimpanga fresh tu bila bugdha🙌
Acha kabisa man,Mpira umekua wa kipumbavu sana. Hii pk ya ATM ni upumbavu wa hali ya juu.
Acha kabisa man,