pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Huyu aplekwe Namungo tu kwa mkopo.Hadi dakika hii huyu Vin Jr hakuna anachofanya huku mbele.
Huenda kwakuwa tumelalamika kuhusu waamuzi nao wameamua kutukomoa.Hii penalty kiukweli tumeonewa, yaani hata huelewi penalty imetokea wapi
Kocha sijui haoni kuwa mipira ya cross haisaidii...hawa jamaa wamejipanga kuicheza hiyo.
Na Mimi nimefikiri hivyo pia, kwamba sasa hivi wanaangalia hata ka kosa kasikoeleweka., yule refa wa juzi alifungiwa so inaweza ikawa sababu.Huenda kwakuwa tumelalamika kuhusu waamuzi nao wameamua kutukomoa.
Atletco Walishika mpira ndani ya box, refa akapeta ingekua kwetu ile lilikua tuta.Na Mimi nimefikiri hivyo pia, kwamba sasa hivi wanaangalia hata ka kosa kasikoeleweka., yule refa wa juzi alifungiwa so inaweza ikawa sababu.
Atoke viny na vasquez, aingie diaz mtu kazi na modric.Namna team inavyocheza inahitaji kiungo mwingine wa kuunganisha ama kuchezesha team, Ancelloti afunge tu macho, mmoja wao atoke, kati ya Vini, Mbappe ama Rodrygo.,
Hakuna creativity ndani ya third ya adui,
Vp akimtoa Mbappe na Valverde, kisha akaingia Modric na Güler?
Viny anawaza hela za waarabu, Na akisema acharuke hapo anacharuka kwenye mdomo tu.Hadi dakika hii huyu Vin Jr hakuna anachofanya huku mbele.