Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Namna team inavyocheza inahitaji kiungo mwingine wa kuunganisha ama kuchezesha team, Ancelloti afunge tu macho, mmoja wao atoke, kati ya Vini, Mbappe ama Rodrygo.,
Hakuna creativity ndani ya third ya adui,
Vp akimtoa Mbappe na Valverde, kisha akaingia Modric na Güler?
Atoke viny na vasquez, aingie diaz mtu kazi na modric.

Bora Vervede ashuke beki ya kulia kuliko vasquez kuendelea kurukaruka humu
 
Back
Top Bottom