Achana naye huyoooo.
Soma post yangu ya mwanzo uelewe
Naona umekurupuka tu!!
Kuweka neno bahati haikuwa na maana goli ni la bahati mkuu...
Siku zote maishani mwetu na vitu vinavyotuzunguka huambatana na bahati...
Ikiwa umeandikiwa bahati njema hata iweje lazima mambo yakunyookee...
Hivyo usilichukulie neno bahati kwa mtazamo hasi...
Achana naye huyoooo.
Blah blah blah, yaani mpira wote wamepiga Real bado unadai bahati tu? Atletico out, haters subirini mshangilie Juventus sasa.
El bitchito, akili zake anazijua mwenyewe. Tulim-miss sana
Naona umekuwa mgumu kuelewa ujumbe wa kile nilichokiandika...
Tuishie hapa tafadhali...