pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Jamaa hawaachi nafasi Mzee, ndio maana huwezi kuwaona akina Vini wanacheza mpira, cha kufanya hapo ni kufunguka kutokea nje., maana kuingia ndani ya box lao ni utata kidogo.Ht tumepigwa 1, Bellingham, vin, mbappe, Rodrigyo wamepotea.
Tshou yupo vizuri ila sio sana second half inahitajika awe bora zaidi.
Modric kacheza vizuri.
Rudiger sometimes ana ka utoto flan
Anadhani Acensio ameshakomaa kiivo.
Hili goli linarudi tukitulia.
Kama bundi vileKila unakoweka kambi lazima kuna watu watalia.
Harafu namfatiliaga sana kwenye penalty hua hapigagi huko anapigaga kulia mwa golikipa.Tunaenda extra time sasa, kwa udhamini wa Vinicius Jr
Acha uogaHii game ilikua sare kabisa.... sasa huku tunakoenda ndio hua siangaliagi mpira kabisa..