TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Who the hell does he think he is?Cristiano Ronaldo wants new deals for Sergio Ramos and Carlo Ancelotti. [MARCA]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who the hell does he think he is?Cristiano Ronaldo wants new deals for Sergio Ramos and Carlo Ancelotti. [MARCA]
Wapenzi wa Madrid wanaomba Bale aendelee kuwa mgonjwa maana hawaoni tija yake katika timu
Pep Guardiola leo kasema"Barca are the best team at the moment"Uzuri wa Barca hawatoki jasho,baada ya mechi huvaa suti na kuondoka bila kuoga sababu hakuna haja. Ukitoka jasho unapigwa fine na coach-Suarez keshapigwa fine mara 3,ameambiwa mpira ni starehe,a relax sio kutoka jasho
hahahahahahahahahahahaha
-Vipi kuhusu Camp Nou, vipi kuhusu PSG na Game zingine.
-Kipindi kile Suarez hakuwa na uzoefu hata kidogo kucheza na Neymar na Messi, na hata sasa bado hajawazoea vema. Subir Next Season uone balaa lake ya hii Combination.
Haha umefufuka mzee? Uliongea sana kabla ya derby, baada ya game ukajificha. Saivi naona umerudi, utakimbia tena muda si mrefu.
Achana na mambo ya Atletico, hujui kwenda na wakati nini!!?? Tunaongelea Juventus v Real Madrid.
Haha umefufuka mzee? Uliongea sana kabla ya derby, baada ya game ukajificha. Saivi naona umerudi, utakimbia tena muda si mrefu.
Who the hell does he think he is?
Haha huyu jamaa bana burudani sana, mwanzo nilikuwa simsomi ila saivi nafurahia uwepo wake humu. Typical Cule, wanaichukia Madrid kuliko wanavyoipenda club yao.Kwanini Real Madrid inakunyima usingizi sana wewe? While you have other issues to think about:
Bayern have won on three of their four visits to Barcelona [ http://[[uefa.to/1EyGcLc ]
Achana na mambo ya Atletico, hujui kwenda na wakati nini!!?? Tunaongelea Juventus v Real Madrid.
We muache ajifanye anatupangia nani tumuongeze mkataba, Ye mwenyewe tunauza akileta ujingaHe doesn't think about himself, mkataba wake unaruhusu kuuzwa wakati wowote,
Haha huyu jamaa bana burudani sana, mwanzo nilikuwa simsomi ila saivi nafurahia uwepo wake humu. Typical Cule, wanaichukia Madrid kuliko wanavyoipenda club yao.
Iko wazi hiyo. Liga mziki mwingine.-Ila twendeni mbele turudi nyuma, tuweke upinzani pembeni.
-kwa upande wangu HAKUNA LIGI BORA KAMA LA LIGA(BBVA) Hii ndio League ambayo timu zote 3 zina hamu ya kubeba UEFA, tofauti na Ligi nyingine yoyote ile.
-Ni ndio ligi ambayo kwenye michuano ya kimataifa inafanya vema sana. Mimi sitaki kuwa mnafiki ila kiukweli EPL huwa siangalii, siangalii sababu sioni ladha yoyote ya Soka ile, msimu uliopita walau nilikuwa nabahatisha kuangalia Game za Man City ila msimu huu naona kama wanashindana vibonde kwa vibonde kisha wenyewe wanaona wanajua.
-Sijui nyie wenzangu mnaonaje ila mimi LA LIGA ndio Ligi niionayo ni Bora zaidi kuliko lig yoyote ile kwa miaka ya hivi karibuni duniani. Na laiti Bayern asingeingia basi hili Kombe la UEFA 100% lingebaki Spain.
cc Salamander, TUPACified.
-Ila twendeni mbele turudi nyuma, tuweke upinzani pembeni.

Ha ha ha ha hizi mind games za guardiola zinapotosha wengi,jamaa ni bonge la geniusPep Guardiola leo kasema"Barca are the best team at the moment"Uzuri wa Barca hawatoki jasho,baada ya mechi huvaa suti na kuondoka bila kuoga sababu hakuna haja. Ukitoka jasho unapigwa fine na coach-Suarez keshapigwa fine mara 3,ameambiwa mpira ni starehe,a relax sio kutoka jasho
Jukwaa la Barca limepooza tatizo.