Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ha ha ha ha hizi mind games za guardiola zinapotosha wengi,jamaa ni bonge la genius

Guardiola lazima awatoe hawa jamaa ili acheze fainali. Only a UCL final is a big success to him hata asipochukua kombe. Kitu kitakachofuata kwa hawa jamaa ni kula matapishi yao, kwasababu watapigwa na Bayern na kwavile ni Antimadridista, na ujinga wao watasubiri fainali waishangilie.
 
“We need Real Madrid to be at their best to
win”, added the manager.

Carlo Ancelotti analysed the Champions
League semi-final draw for
Realmadrid.com and Realmadrid TV.

Madrid have drawn Juventus.“At this
stage of the competition, all of the sides are
difficult. Juventus is a club that have a
legendary history and it is returning to a semi-
final after twelve years. They are having a very
good season and have practically won the
Italian league. That means they can focus more
on the Champions League".
“We are confident that we can follow our
dream, which is to reach another final after last
year. We need Real Madrid to be at their best
to win, we need the same side that played
against Atlético, with the same enthusiasm and
hope. We have a lot of confidence".

The fans
“They helped us a lot last year in the semi-
finals against Bayern, with a fantastic
atmosphere. They also helped in these quarter-
finals , the atmosphere was amazing at the
Bernabéu and they had the same enthusiasm
as us. Everything went well and I hope things
continue that way in the semi-finals".
 
-hahahahahahahahahaha weweeeeeeeeee wape ukweli wape ukweliiiiii wapeeeeeeeeeeeee
-hahahahahaahahahahaha MwanaJf wewe sijui umetokea wapi, comment zako zinanikosha sana
CC everlenk, Mourinho, chebi na MO11
Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
 
Mnapenda kujilisha upepo nyie viumbe...Haya,kombe linatua Camp nou.
 
Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda

Hahahahahaha safi sana mdada, kwanini usiwe humu ktk jukwaa la Sports? Ukiwa humu nitafurahi sana.
 
Naangalia wachangiaji Antimadrista kule wanavyoonyesha dharau kwa timu yetu, lakini najua moyoni wanakwazika sana na hili chama.
Me kwa mtazamo wangu timu ambayo nlikuwa naihofia ni ATM peke yake,hawa waliobaki hawa tunawamudu vzr kabisa bila wasiwasi,hakyanani ndoo tunaibebea hii me nakuambia maneno ya wazi
 
Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
Hahaha, ok.
 
You're not serious, are you? Real Madrid inajikongoja? They have 2 points difference with la liga leader na sasa wanacheza UCL semi-final, kujikongoja gani huko? Au bahati mbaya ipi unaongea?...By the way hao unaowaita wewe wananaojua mpira are just Real Madrid haters kama wewe. Yeyote atakeyeshinda mechi yenu tuonane Berlin mwezi june.
Kuna watu wameanza kuangalia mpira juzi jumanne usiku,hao wanajua bayern na barca,hawajui kumbukumbu za msimu jana bayern alipigwa nje ndani tena kipigo cha mmbwa mwizi kule kule kwao na real madrid,watu hao hawajui kuwa barcelona ili kushinda mechi ya marudiano ya juzi pale nou camp ilibidi wapandishe bei ya ticket kwa washabiki wa madrid na wakatoa limited numbers of seats,kisha uwanja ukawa mkavu ili majani yawe yanateleza..haya yote yaliripotiwa katika vyombo vya habar..ila pamoja na hujuma zote hizo walipata ushindi kwa mbinde sana wa goli 2-1 wakat round ya kwanza pale santiago pamoja nakupewa kila walichohitaji na idadi kubwa sana ya mashabiki wao kuingia ila walikula 3-1...
 
Hao jamaa ni wahuni tu, walitupa tickets 100 tu, na bei ilikuwa ni 110k nadhani. Cha muhimu ni kutowajali tu
 
Kuna watu wameanza kuangalia mpira juzi jumanne usiku,hao wanajua bayern na barca,hawajui kumbukumbu za msimu jana bayern alipigwa nje ndani tena kipigo cha mmbwa mwizi kule kule kwao na real madrid,watu hao hawajui kuwa barcelona ili kushinda mechi ya marudiano ya juzi pale nou camp ilibidi wapandishe bei ya ticket kwa washabiki wa madrid na wakatoa limited numbers of seats,kisha uwanja ukawa mkavu ili majani yawe yanateleza..haya yote yaliripotiwa katika vyombo vya habar..ila pamoja na hujuma zote hizo walipata ushindi kwa mbinde sana wa goli 2-1 wakat round ya kwanza pale santiago pamoja nakupewa kila walichohitaji na idadi kubwa sana ya mashabiki wao kuingia ila walikula 3-1...

-Huu ndo unaitwa Udaku, na tukiuleta ktk Thread kama hii ambayo Mkuu Salamander huwa haandikagi majungu kama haya huwa haipendezi.
-Kwani Real Madrid hajawahi kufungwa Camp Nou.
-Barca hajawahi kumfunga Real ndani ya Santiago Bernabeu na Messi akaondoka na mpira tena ni msimu uliopita tu hapo na ktk ligi Real alikaa nje ndani.
-Udaku kama huu acha ufanyike ktk Thread za EPL au Bongo, Spain hakuna mambo ya ajabu ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa muono wangu katika timu zilizobaki, timu mchekea ni bayern wakifuatiwa na Barca. Juve was tough opponent to face and they gave us hicho kikombe.
 
Hahahahahaha safi sana mdada, kwanini usiwe humu ktk jukwaa la Sports? Ukiwa humu nitafurahi sana.
Usijali nitakuwepo,mimi hapa nilipo nikitembea dakika 10 tu niko NOU camp. Maeneo haya Barca ni more then a football team,wapenzi wa barca ni afadhali wafungwe kuliko goal lipatikane kwa shuti toka nje ya box
 
hahahahahaha basi uwe unaonekana kule kwenye Jukwaa la Barcelona.
 
-Huu ndo unaitwa Udaku, na tukiuleta ktk Thread kama hii ambayo Mkuu Salamander huwa haandikagi majungu kama haya huwa haipendezi.
-Kwani Real Madrid hajawahi kufungwa Camp Nou.
-Barca hajawahi kumfunga Real ndani ya Santiago Bernabeu na Messi akaondoka na mpira tena ni msimu uliopita tu hapo na ktk ligi Real alikaa nje ndani.
-Udaku kama huu acha ufanyike ktk Thread za EPL au Bongo, Spain hakuna mambo ya ajabu ajabu.
Sina chakukujibu,jitahidini tukutane ujeruman...Nina hakika unatazama tu mpira wakat wakicheza ila nje ya hapo hujui kinachofanyika ni nini...
 
11150526_879737168763962_6682298206545866307_n.jpg
 
Usijali nitakuwepo,mimi hapa nilipo nikitembea dakika 10 tu niko NOU camp. Maeneo haya Barca ni more then a football team,wapenzi wa barca ni afadhali wafungwe kuliko goal lipatikane kwa shuti toka nje ya box
Jajaja Madam, Yaani ulipo unatembea dakika 10 tu kufika 'Nou Camp'? Are you serious right now?

Please hizi story za Barca ukawaambie cules wenzio kwenye thread yenu. Ukija huku angalau uwe unajua unachokisema basi, kuwa Madridistas haimaanishi hatuijui Barca, tunaifahamu pengine kuliko hata cules wengine.
 
Back
Top Bottom