Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #5,401
Ha ha ha ha hizi mind games za guardiola zinapotosha wengi,jamaa ni bonge la genius
Guardiola lazima awatoe hawa jamaa ili acheze fainali. Only a UCL final is a big success to him hata asipochukua kombe. Kitu kitakachofuata kwa hawa jamaa ni kula matapishi yao, kwasababu watapigwa na Bayern na kwavile ni Antimadridista, na ujinga wao watasubiri fainali waishangilie.