Kuna babu m-dutch anaheshimika sana maeneo hayo unayoishi, huwa analalamika mara kwa mara kwenye articles zake maarufu sana hapo ulipo. Unaweza kuniambia huwa analalamika kitu gani? Jibu la ulichokisema liko hapo
-Johan Cruyff the Legend, Dah, ngoja nizungumze kidogo.
-Huyu ndo aloletaga mafanikio Barca, wala si Guardiola.
-Ile system ya tiki taka kabla haijagundulika dawa yake ndo ilileta mafanikio makubwa sana, tofauti na watu kusema kuwa eti Guardiola ndo alileta hayo mafanikio, kipindi kile huu mfumo ndo umekolea kocha hata angekuwa Maximo Barca angeweza kubeba makombe.