Kuna babu m-dutch anaheshimika sana maeneo hayo unayoishi, huwa analalamika mara kwa mara kwenye articles zake maarufu sana hapo ulipo. Unaweza kuniambia huwa analalamika kitu gani? Jibu la ulichokisema liko hapo
Hahaha dah! Kwahiyo unataka kusema Pep kadandia mafanikio ya hater wetu Cruyff? Unajua Cruyff katoka Barca lini??-Johan Cruyff the Legend, Dah, ngoja nizungumze kidogo.
-Huyu ndo aloletaga mafanikio Barca, wala si Guardiola.
-Ile system ya tiki taka kabla haijagundulika dawa yake ndo ilileta mafanikio makubwa sana, tofauti na watu kusema kuwa eti Guardiola ndo alileta hayo mafanikio, kipindi kile huu mfumo ndo umekolea kocha hata angekuwa Maximo Barca angeweza kubeba makombe.
What the hell is this? Mlivyoliwa 7up Bayern what happened? First leg mlivyokuja Bernabeu who dominated?
Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
Hahaha dah! Kwahiyo unataka kusema Pep kadandia mafanikio ya hater wetu Cruyff? Unajua Cruyff katoka Barca lini??
Unachotakiwa kuomba ni wapenzi wa Madrid waache kumzomea Bale-anaweza kuja kuwakomboa angalau mkawa runners up at least
MARCA | Liverpool have lodged a bid for Real Madrid midfielder Asier Illarramendi, though the Champions League winners want 32 million.
Jugones | If Real Madrid wanted to buy Chicharito they would have to pay 25 million euros before April 30, Madrid will not do this.
- Sadly We will say goodbye to Chicharito soon.
Huyo chalii enzi yake akiwa La Real alikuwa noma sana, + ali-shine sana kwenye mid-trio yake Thiago na Isco waliyobeba Euro U-21 chini ya Lopetegui. Baada ya ile michuano ndio wakasajiliwa yeye na Isco. Ni mzuri ila ameanya tu kucheza Madrid, inatokeaga kwa wengi sana.Perez alikiona kipi kwa huyu dogo?? Manake alitoa MZIGO mkubwa sana!!
He's a decent player though, but bit overrated, nadhan Mkwanja aliouweka Mezani Perez kipindi kile ulishtua wengi sana!!!
But kwa team zetu hizi, itakuwa ni Decent Buy!!
Chicha angewasaidia sana kama BackUp ST.