juve naona wanatumia nguvu nyingi kwa cr7 na bale wanamuacha fundi J10, ila cavarjal na pepe bado sijawaelewa
Goli la tisa for this season.now Ronaldo leads one goal behind messi(8)Hili goli la ngapi kwa cr7 uefa this season?
James ni zaidi ya mchezaji
Hapo Coach angekuwa na akili, unarudisha Ramos kucheza kama defender na Pepe + Varane, kiungo amechemka. Sogeza Marcelo na Carvajal katikati, Isco na James mbele, Bale out for Chicharito.
Hapo Coach angekuwa na akili, unarudisha Ramos kucheza kama defender na Pepe + Varane, kiungo amechemka. Sogeza Marcelo na Carvajal katikati, Isco na James mbele, Bale out for Chicharito.