Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

James hits the post. What a chance that was. Beautiful cross by Isco.
 
Dah! Yaani Juve wanatufanyisha makosa kiasi hiki? Tukifungwa ndio mpaka next year kama ntakuwa naikumbuka password. Just hold it down strong for the blancos, msiwaruhusu watuzoee.
 
Cristiano netting his 76th #UCL goal......

CERAfqbWMAAnvEF.jpg

CERAgGBWYAE9505.jpg

CERAgr4WIAADWvH.jpg

CERAguKWIAAlutj.jpg

Hapo Coach angekuwa na akili, unarudisha Ramos kucheza kama defender na Pepe + Varane, kiungo amechemka. Sogeza Marcelo na Carvajal katikati, Isco na James mbele, Bale out for Chicharito.
 
Umeniwahi kucomment...ninawaza hivyo hivyo
 
Hapo Coach angekuwa na akili, unarudisha Ramos kucheza kama defender na Pepe + Varane, kiungo amechemka. Sogeza Marcelo na Carvajal katikati, Isco na James mbele, Bale out for Chicharito.

Carlo hakuona hilo, Ramos hakucheza kiungo vizuri na Varane na Pepe walikuwa wanakatika mara zote, halafu yule Bale alitakiwa aende bench dakika 30 za mwanzo. Huyu mzee anatunyima starehe kabisa, game ya kushinda hata goli 3 tunafungwa sisi.
 
Back
Top Bottom