Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #581
Illara nafikiri atatumika pale kati..yule dogo ni kama alonso hivi
Ni kweli kabisa, na sasa la liga ndio imepamba moto si umeona game ya juzi na Malaga ilivyokuwa ngumu. Barca nayo jana chupu chupu na Valencia.
Isco ana yellow card mbili kwa hiyo atamiss gama na Celta Vigo, vile vile Khedira na Modric majeruhi, sasa sijui Ancelotti atamtumia nani pale kati.
Lakini Isco yule yule watu washatangaza dau la millioni 80 next summer.