Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #6,421
Droo ni sawa na kufungwa kwa Real ktk hii Game.
Droo ni sawa na kufungwa kwa Real ktk hii Game.
Hongereni mmejitahidi sana......
Carlo akili zake anajua mwenyewe. Anacheza na Valencia, Marcelo na Carvajal wanakaa bench, na Varane yupo jukwaani, sasa sijui alitegemea maajabu. We hata ukisikia rotation, ndio Pepe, Arbeloa na Coentrao wacheze pamoja kweli?
Hahahhahahaha....wapenzi wa barca wanachangamkia hili jukwaa kama vile ndo lao....msimu huu tuna kikosi kidogo pia..
Madrid walikuwa wanapaka rangi upepo leo...
hahahahahahhahaha sasa leo nalala kwa kicheko kikubwa, sio sababu Madrid kadroo, HAPANA. Ila kwa hii comment yako, hahahahahahha kwahiyo upepo haupakwi rangi?