Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #6,421
Droo ni sawa na kufungwa kwa Real ktk hii Game.
Carlo akili zake anajua mwenyewe. Anacheza na Valencia, Marcelo na Carvajal wanakaa bench, na Varane yupo jukwaani, sasa sijui alitegemea maajabu. We hata ukisikia rotation, ndio Pepe, Arbeloa na Coentrao wacheze pamoja kweli?