Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #6,541
Mi sina cha kusema ndugu yangu. We ongea tu, you deserve it. Lakini naomba msije kutafuta sababu tu, mi ntakuwepo humu humu.
Naaam Kaka, tunaleta mdundiko wa kibuluda hapo santiago na tunajua kina christina and co. watamwaga mauno kwa mbwembwe na bakshasha zotee
I save my ban for the final game of Berlin.
First thing first, respect kwako Mkuu, kweli wewe ni a Madrista, jamaa wengine wamejificha nyuma ya ban ila wewe upo hapa unalisongesha kama kadawia, kudos
Hautakuwepo peke yako, tutakua pamoja na nikutakie kila la kheri na dhahma za mabuluda
Juventus wanakuja Bernabéu kucheza mpira. Wana defend, wanapenda ball possession na wanaongoza kwa bao 2-1. Lakini kumtoa Real Madrid nusu fainali ya UCL nyumbani kwake sio kama kumsukuma mlevi. Tusubiri...
na usipofika je?
Tunakuja kukamilisha tulichokianza wiki jana, jaani kumalizia mahari tumtwae mwali, tutakamilishaje au tutashindaje mtajua hiyo hiyo jumatano
Kama mmenza tabia za kilevi we'll treat you kama mlevi mwingine yeyote yule, hatutasubiri muwe sober
Mi siongei tena, majibu yapo Bernabéu.
Mi sina cha kusema ndugu yangu. We ongea tu, you deserve it. Lakini naomba msije kutafuta sababu tu, mi ntakuwepo humu humu.
We ----- nakukubali ujue, sorry nimekusifia ila wewe ni madridista kama mimi kulaleki, upande wa pili kesho wanatoka waache wajidanganye maana fainali zinaingia timu zilizoingia nusu fainali last year,
Tunakuja kukamilisha tulichokianza wiki jana, jaani kumalizia mahari tumtwae mwali, tutakamilishaje au tutashindaje mtajua hiyo hiyo jumatano
Kama mmenza tabia za kilevi we'll treat you kama mlevi mwingine yeyote yule, hatutasubiri muwe sober
Kwa mtu aliefuatilia game first-leg iliyochezwa Turin, hawezi kupiga makelele eti Juve inakuja kumfunga Real Madrid Berbabéu. Mpira magoli, lakini ukiangalia magoli mawili yote utagundua uzembe flani ndio uliofanya tupoteze game na wala sio tactics. Ushindi wa Juve utategemea mistakes za Real, kitu ambacho hakiwezi kutokea kwenye mechi kama hii.
Mi sitaki kuongea, tusubiri tu tuone.

Hutaki kuongea and yet you're here talking utterly nonsense, we outwitted your team in the first leg man, kila anayejua soka aliliona hilo
Kaeni chonjo kwa sababu baada ya game ya jumatano mtaanza kumtafuta mchawi na risiti za manunuzi za mediocre players mliowanunua kwa bei za kutupwa
#ForzaJuve
We ----- nakukubali ujue, sorry nimekusifia ila wewe ni madridista kama mimi kulaleki, upande wa pili kesho wanatoka waache wajidanganye maana fainali zinaingia timu zilizoingia nusu fainali last year,
kama ndo hivyo basi hata ninyi lile goli mlilopata ni uzembe wa Juve. Na haihitajiki kufungana ili Juve apite, hata matokeo ya droo ya 0-0 yeye kapita
Madrid win 3-1
Hakuna droo pale, tusubiri kuona magoli mengi kwenye hii mechi. Usiyempenda lazima aje.