Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Si rahisi kuamini haya unayoyaongea,Mod wanaweza ku-merge hizo ID zote.Ulijiamini sana wakati uwezo wa timu yako ulikuwa unaonekana.
Moja, TUPACified is just a character to you and everybody else, hakuna anayemjua zaidi yangu. He placed a bet, lost and he accepted.
Mbili, as far as him being a character, i am not him, but his alter ego, nimeshaelezea mara kadhaa.
Tatu, ningeweza kunyamaza kama simjui kabisa but since i'm just another character like y'all mofos, sikuona issue.
Nne, I am breaking no rule or condition either ya bet yake au JF. Kama ipo i-state or y'all don't have any reason to be on my grill.
Tano na muhimu, nimegundua tuna haters wengi na wanaongea uzushi na upuuzi kuhusu Real Madrid, so as long as i can afford time i will be putting them to their places, just to protect the club i love. And unlike him, i am loco, emotional, and ruthless; i will play as you approach me, act like a puto and i will be your Pimp, act like a man and i will treat you like one.
Si rahisi kuamini haya unayoyaongea,Mod wanaweza ku-merge hizo ID zote.Ulijiamini sana wakati uwezo wa timu yako ulikuwa unaonekana.
Dude, i'm not Chris Paul, so don't even try to score with me man.Hahahaha umerudi tena??
Jamani sijapigwa ban japo nilipoteza bet, ila nimeamua tu kuitumikia mwenyewe. Paulo Sergio De Souz is my alter ego. I needed to say that, now back to minding my loss.
Oh boy! Yaani unatumia jina kubwa ila uko too slow man.Maandishi yanafanana.. Zahahaha
Jamani sijapigwa ban japo nilipoteza bet, ila nimeamua tu kuitumikia mwenyewe. Paulo Sergio De Souz is my alter ego. I needed to say that, now back to minding my loss.
Wahaooo!!! Nimefurahi kukuona tena basi usipotee tena hayo yashapita tugange yajayo ya La Liga....karibu tena jamvin nataka sasa nione utatu wenu wa Salamander TUPACified na Paulo Sergio De Souz.....
Mtani na huku unafanya nini 😱😱😱😱😱
TUPACified hatakuwepo, ila hakitaharibika kitu. Ntawakilisha to the max mpaka around July.Wahaooo!!! Nimefurahi kukuona tena basi usipotee tena hayo yashapita tugange yajayo ya La Liga....karibu tena jamvin nataka sasa nione utatu wenu wa Salamander TUPACified na Paulo Sergio De Souz.....
Hueleweki kabisa, mara unamuombea msamaha, mara unakomaa apigwe ban, kuwa na msimamo basi.Invisible kwanini huyu TUPACified hakupigwa Ban kama alivyoomba ktk ile Thread aliyoanzisha?
Invisible kwanini huyu TUPACified hakupigwa Ban kama alivyoomba ktk ile Thread aliyoanzisha?
Hahahaha Mtani mchepuko ndo dili wewe kaa na liver yako tu ufe . ......hapa nimekuja kuwasalimia watani home ni Camp Nou.
Kweli we ni mtani wangu me ni La decima msimu huu hata mchepuko umezingua hadi natamani nimuhadithie make 😉😉😉