Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Si rahisi kuamini haya unayoyaongea,Mod wanaweza ku-merge hizo ID zote.Ulijiamini sana wakati uwezo wa timu yako ulikuwa unaonekana.
Wana uhuru wa ku-merge na kuchukua hatua zozote sahihi, ndio maana sijaficha kitu. Ni kweli alijiamini, probably alikuwa na sababu za ziada ila kapoteza na kakubali. Kuhusu kuwa banned ama vyovyote hapotezi kitu, si kwamba alikuwa anatengeneza mkwanja kwa kuwepo humu, if anything alikuwa anatibu home sickness.
