Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Si rahisi kuamini haya unayoyaongea,Mod wanaweza ku-merge hizo ID zote.Ulijiamini sana wakati uwezo wa timu yako ulikuwa unaonekana.

Wana uhuru wa ku-merge na kuchukua hatua zozote sahihi, ndio maana sijaficha kitu. Ni kweli alijiamini, probably alikuwa na sababu za ziada ila kapoteza na kakubali. Kuhusu kuwa banned ama vyovyote hapotezi kitu, si kwamba alikuwa anatengeneza mkwanja kwa kuwepo humu, if anything alikuwa anatibu home sickness.
 
Moja, TUPACified is just a character to you and everybody else, hakuna anayemjua zaidi yangu. He placed a bet, lost and he accepted.

Mbili, as far as him being a character, i am not him, but his alter ego, nimeshaelezea mara kadhaa.

Tatu, ningeweza kunyamaza kama simjui kabisa but since i'm just another character like y'all mofos, sikuona issue.

Nne, I am breaking no rule or condition either ya bet yake au JF. Kama ipo i-state or y'all don't have any reason to be on my grill.

Tano na muhimu, nimegundua tuna haters wengi na wanaongea uzushi na upuuzi kuhusu Real Madrid, so as long as i can afford time i will be putting them to their places, just to protect the club i love. And unlike him, i am loco, emotional, and ruthless; i will play as you approach me, act like a puto and i will be your Pimp, act like a man and i will treat you like one.

Hahahaha umerudi tena??
 
Haahaaahaa , i see huu uzi umekuwa maarufu sana kwa wapenda soka. Champions league has passed dudes. Mnakaribishwa Real madrid, klabu kubwa ya soka kuliko zote duniani.

Halla madrid.!
 
Steph Curry and the likes

Alter.jpg

Now you know, Mr MVP.
 
Last edited by a moderator:
When Real won the Club World Cup on 20th December, 2014, few could have imagined that the following year would be so amazingly different to the brilliant one about to finish.

Not just because 2014 was a triumphant year for 'Los Blancos', with the winning of four titles. The Copa del Rey, the Champions League, the European Super Cup and the Club World Cup. The most silverware every won by Real in all its history.

It wasn't just the titles. It was also the general feeling of a team on a roll. Perhaps this was even more important than the trophies. Real Madrid played really great football. A team that managed to string together 22 victories on the trot and looked to be favourites in all the competitions they were competing in. Precisely what the club's history demanded (and demand) of them.

But all that came to an abrupt end in 2015. It started with their very first game of the new year, which they lost against Valencia. After that there was the great Copa del Rey calamity against Atlético de Madrid, again failing to make a comeback. Then came a plague of injuries (from Modric to Benzema, including, James, Ramos, Bale, Pepe...) and a slow but sure decline in form in the league that has resulted in Barça claiming the top spot. And now they have been kicked out of the Champions League at home by Juventus.

Things as they stand, the only thing that Real may possibly win in the year 2015 is la Liga. And they hardly stand a chance there. Barça are currently leading by four points, with just two games to go. This weekend, Ancelotti's men might wave goodbye to the last of their lost causes, confirming that in just five months they have turned 2015 from another year of plenitude to their annus horribilis.


Read more:Real Madrid: 2015: Real's annus horribilis? - MARCA.com (English version)
 
Hahahaha Mtani mchepuko ndo dili wewe kaa na liver yako tu ufe . ......hapa nimekuja kuwasalimia watani home ni Camp Nou.

Kweli we ni mtani wangu me ni La decima msimu huu hata mchepuko umezingua hadi natamani nimuhadithie make 😉😉😉
 
Kweli we ni mtani wangu me ni La decima msimu huu hata mchepuko umezingua hadi natamani nimuhadithie make 😉😉😉

Hahahahaha!!! Mtani hadi mchepuko? Pole sana,hamia Juve Kama kaka yangu ,najua hiyo tarehe 6 utakuwa kwa mkopo kule au uhamie ligi ya NBA... Lol
 
[02:43, 14/05/2015] Redondo: Ndio maana watu huwa wanazungumzia balance halafu tunawaona wanazingua tu. Squad yetu haiko na balance na it's time Cristina kama vipi ahamie CF tu awe anacheza hapo moja kwa moja na sio kukaa kule kwenye wing halafu hakuna kitu. Ndio maana juzi tunaongea hapa na * nikasema jamaa kule pembeni hakuna kitu. Tunatakiwa tubadilike. Tumefeli kabisaaaaa.

[03:05, 14/05/2015] Redondo: Season inamalizika without any trophy. Amemwaga kila kitu.

[03:07, 14/05/2015] Redondo: Butragueno anayemtetea kila siku jana amesanda. Walimuuliza mara 2 future ya Carlolina jamaa akakwepa kujibu.

[03:08, 14/05/2015] Redondo: Kocha unajua kazi yako kabisa huwezi ukawa na squad haiko na balance na bado unakomaa una strong squad.

[03:09, 14/05/2015] Redondo: Juve jana kama wako kwao. Walitulia sana pamoja na kwamba tuliwakosakosa na tulikua tuna nafasi. Wanastahili kucheza fainali.

[03:19, 14/05/2015] Redondo: Real Madrid fans huwa tuna mbwembwe sana. Kwasababu tuna majina makubwa basi ndo huwa tunajiona tuna chama kali. Ukiangalia uwezo wa wachezaji unakuta tuna matatizo sehemu kadhaa. IMO, imefikia point mmoja kati ya Pepe au Ramos asepe kwanza, hasa Pepe kwasababu ya age. Ramos jana alikua na game nzuri tu. Central midfield na LB tunahitaji manguli hasa pia. Mpango wa kutupa pesa mingi kwa mchezaji mmoja halafu nafasi zingine zinakua wazi ni uchizi. Pogba kama vipi wamuache aende City huko. Kama Gustavo na midfielder mwingine ''all action.'' Kule mbele CR7 kusepa si rahisi ila tunahitaji mtu mwingine, a classy winger kwa maono yangu. Beba Brahimi Porto apige RW. Bale hamishia kushoto. CR7 atakanyaga CF.

[04:13, 14/05/2015] Redondo: Ati jamaa anazungumzia kumaliza ligi vizuri. Ameharibu kila kitu. Tulikua tuna potential ya kushinda kila kitu. Haya mambo yalishaanza kuonekana taratibu. Wenye kutaka kuona kwa mambo kuharibika sasa ndo wajue siku zote tulikua tunasema hii kitu.

[04:16, 14/05/2015] Redondo: Timu haina balance kabisa aisee. Jana nimeona.

[04:17, 14/05/2015] Redondo: Na ndio dunia ya soccer inatuchukulia poa pia. Matokeo yake * amelazwa toka juzi haonekani na mbwembwe zote.

[04:20, 14/05/2015] Redondo: Wale front three wetu hawajielewielewi. Benzema yuko kwenye nafasi ya ama kufunga, kutoa pasi kwa Isco aliye na nafasi nzuri zaidi, yeye anampa Cristina naye anazingua mbaya. Lilikua goli kabisa lile.

[04:21, 14/05/2015] Redondo: Jamaa alipata ngekewa tu msimu wa kwanza.

[04:22, 14/05/2015] Redondo: Na hata balance iliyopatikana baadaye ni kwasababu Sami aliumia Di Maria ndo akaanza kucheza kati vinginevyo ilikua awe anakula bench tu.
 
Back
Top Bottom