Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Autograph signing session in Almería

Cristiano and Coentrao, centre stage at the autograph signing session in Almería / Cristiano y Coentrao, protagonistas en la sesión de firmas en Almería

10428069_10150739706549953_7557398537494813134_n.jpg


1979602_10150739706544953_9122865079793109999_n.jpg


1375704_10150739706579953_8001592865529316645_n.jpg


10479745_10150739706589953_8931227894868361052_n.jpg



10402988_10150739706659953_7550987957143076950_n.jpg
 
Riveria (Almeria's coach): "We know who we're facing, the best team in Europe and possibly the world, but we'll compete without being inhibited by that."
 
Real Madrid starting line-up against Almería

10502249_913982555293172_9169471538252577800_n.jpg







 
ONCE INICIAL / LINE-UP:
Almeria - Real Madrid


 
Last edited by a moderator:
Kumekuwa na changes nyingi za hapa na pale kwenye Europa league tangu msimu wa 2009, kwa hiyo mshindi wa msimu uliopita hakupewa nafasi ya kucheza Champiom league moja kwa moja. Lakini mshindi wa Europa league msimu huu atakwenda kwenye group stage ya Champion league ya next season.
Sijafuatilia kuhusu Chelsie, lakini kuna tofauti ya washiriki wa kutoka Spain na England. Wa kutoka Spain wanatpkana na matokeo ya la liga wakati wale wa England, somehow FA Cup inahusika pia.

Anyway, hapa sina datas kamili.

Ok asante sana kidogo umenipa mwanga.
 
Goaal! Goaal! Goaaal! Dakika ya 33, Isco anaweka bao.

1510564_10150740059124953_5964820290236712132_n.jpg
 
Dakika ya 41, Gareth Bale anaweka bao la pili. Almería 1 Real Madrid 2.
 
Dakika ya 81, Christiana Ronaldo anaweka bao la 3.
 
Back
Top Bottom