Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #821
Duuh! Ila hao Almeria walitupiga kagoli kazuri sana
We hukuangalia game ya jana? Almería walikuwa wamekomaa mpaka nikamuona Ancelotti kasimama, walivyopoteza penalty ndio Real Madrid wakaona hii mechi si ya kuifanyia masihara. Hata hivyo tumshukuru Casillas alipocheza ile penalty, kama jamaa wangepata bao la pili labda ungekuwa mwingine.