Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man city wanabahati mbaya sana!
Mpira uwanjani lakini hawa weupe tu, kama unakumbuka mara ya mwisho kucheza nao tuliwapiga 6 - 1. Lakini mechi ya Man City na Barcelona huwezi kuitabiri kabisa, ni game tough timu yoyote inaweza kutoka mashindanoni, sawa na mechi ya PSG na Chelsea.
Mkuu, psg vs chl hapo zitapigwa ila man city dah, barca ni kisiki hasa akicheza Messi!
Juzi Barcelona wamedroo na GETAFE,timu inayoshika nafasi ya 13 kwenye La Liga. Dakika 90 bila bila, Barceloba wameshindwa kuweka bao wakiwa wachezaji wao wote wakutegemewa. Na wiki iliyopita pia niliwaona kwenye mechi yao na Valencia, Refarii kalazimisha bila aibu mpaka kawapa bao dakika ya 96 ya mchezo.
Kwa hiyo game yao na Man City, we subiri uone, mi nipo hapa hapa.